Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 954 Reaction score 1,578 Nov 11, 2017 #21 Pilau Bata!!
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,258 Nov 12, 2017 #22 Mr Q said: 25000 kuku wawili ambao wamebalehe na utamu wao zaidi ya bata. Click to expand... Mkuu inaonyesha bado hujapata nafasi ya kuandaliwa gegedu la bata nyama yake huwa na ujazo wa ukweli halafu tamu balaa
Mr Q said: 25000 kuku wawili ambao wamebalehe na utamu wao zaidi ya bata. Click to expand... Mkuu inaonyesha bado hujapata nafasi ya kuandaliwa gegedu la bata nyama yake huwa na ujazo wa ukweli halafu tamu balaa
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,758 Reaction score 136,452 Nov 12, 2017 #23 Bado Mleta mada naona hajapatiwa soko la Bata la uhakika humu Ova
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,506 Reaction score 7,472 Nov 12, 2017 #24 Ila mnanishangaza mnavoongelea soko la China wakati hiyo stock size ni haiwezekani kuexport labda mchanganye na wengine napo ni lazima hao bata wachinjwe.
Ila mnanishangaza mnavoongelea soko la China wakati hiyo stock size ni haiwezekani kuexport labda mchanganye na wengine napo ni lazima hao bata wachinjwe.