FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Kwani ujenzi wa soko ulikuwa unasimamiwa na CHADEMA?
Muulize Mbunge wa Mbeya aka Sugu.
Kwani ujenzi wa soko ulikuwa unasimamiwa na CHADEMA?
Nini chanzo cha mgogoro na kwa nini mkandarasi afukuzwe? Jengo limejengwa chini ya kiwango wenye macho wameona na kusema. Mkandarasi kaambiwa akimbie ili afunike kombe mwarabu apite wewe unasema kafukuzwa! Siku jengo litakapoporomoka ndipo utakapokumbuka verbal/written evidence tunazozitoa sasa. Je unajua kuwa hata miundo mbinu ya moto iliyotakiwa kuwekwa katika jengo hilo imehujumiwa?