kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
WanaJF,
Usimamizi mbovu wa ujenzi wa barabara na majengo mengi hapa nchini unaligharimu Taifa hili huku watu wachache ambao ni wezi wakinufaika!
Soko la Mwanjelwa mpaka sasa halijafunguliwa kutokana na kujengwa kwa kiwango cha chini kulikosababisha kuta kupasuka na kutoa nyufa hata kabla halijaanza kutumika ikiwa ni baada ya mamilioni ya walipa kodi kutumika hovyo na kuwanufaisha wasimamizi wezi!
Kwa nini wezi hawa hawakamatwi na kushitakiwa?