Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

Hiv Hawa ndo alifungua kesi ili eti nao waje waongoze shirikisho letu ingekuwa aibu tupu wabak Uko wapigane ata 100
 
Na kwaulivyokua pimbi umechanganya vitu viwili tofauti ambavyo haviendani
 
Hawajapigana ngumi kweli hao, kwa sababu mimi mwenye nimejikuta nacheka kwa hasira, hao waliofungwa walikuwa wamesimama au?
 
Hawajapigana ngumi kweli hao, kwa sababu mimi mwenye nimejikuta nacheka kwa hasira, hao waliofungwa walikuwa wamesimama au?
Hasira za nini wakati waliofungwa nao walifurahia/walishangilia kufungwa?
 
Yote haya ni madai ya katiba mpya yaliyoanzishwa na Chadema.
 
Duuhhhh......chenga twawala yakhe ....
 
Kwema wandugu,

Zanzibar, Zanzibery, Zenjii nianze kwa kuwaita ivo hawa ndugu zetu.

Hivi ligi ya huko Zenji huwa inaendwashaje? Mlioko Zanzibar em tuambieni jama mpaka mtu anafungwa 46-0, 50-0 inakuaje.

Timu pinzani inakua imesimama tu, au ni kwamba mechi zinauzwa,πŸ€”πŸ€” ila hata kama mechi zinauzwa ndo 50-0 kweliiii?

Wadau wa michezo uko tuambiane yaliyo nyuma ya pazia uko aisee nilishangaa sana hii video hapa. Mpaka kiongozi wa ZFF ikabidi achape lapa, mana aliona huu sasa ushubwada kipa anadaka kama rede vile.πŸ˜‚πŸ˜‚.

Em na swali la mwisho ivi mashabiki wanalipa kiingilio kabisa kuangalia mechi izo?

Your browser is not able to display this video.
 
Mpira ni mchezo wa mbinu
Daah mkuu hata kama ni mbinu, mpira wa kisasa huu kweli mtu adungwe 50 bila majibu? Tatizo la hiyo timu pinzani ni lipi.
Kwahiyo ligi inaweza isha na mshindi akawa hata na magoli 500? Ajabu hii
 
Tunamshukuru Sana Rais wa Zbar na Mkiti wa Baraza la Mapinduzi kwa maendeleo haya ya soka hapa visiwani. Na hatimaye tumeweza kuweka rekodi duniani ambayo haijawahi kuwekwa mahali pengine popote.Hizi Ni juhudi kubwa za seikali ya CCM ktk kukuza na kuendeleza mchezo wa mpira wa miguu.

CCM hoyee, Zidumu fikra sahihi za Mkiti wetu.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…