Soka la Tanzania ni ngumu ama?

Soka la Tanzania ni ngumu ama?

Kama walimsajili Ismail Juma Mgunda wa Mashujaa hapo ndo unatakiwa kuelewa mpira wao kwa sasa upo kwenye kiwango gani?! George mpole alienda huko kutokea Geita Gold amerudi kasajiliwa Pamba. Ramadhan Singano yeye wana kesi adi leo na Mazembe nadhani, ila mpira hachezi tena anasubiri kulipwa mamilioni yake ya kuvunjiwa mkataba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom