Me ninayo ipo kwenye Cd sijui nitakusaidiaje mkuu. ni mb nyingi ningeweza kuiupload. nipo Dom. kama ushauri wa hapo juu utashindikana tuendelee kuwasiliana nitoe kopi na nikutumie kwa basi uifuate ubungo. ilinisaidia sn hii prog kipindi nafanya masters hasa ktk data analysis and presentation.