Computer iko na language yake ambayo ni binary numbers 0 na 1
Huku 0 ikitafsiriwa kama low
Na 1 ikitafsiriwa kama high
Hizi number zinaitwa BITS hizo BIT zikiwa 8 kwa mpangilio wowote zinaitengeneza BYTE
hiyo LOW maanake NO VOLTAGE
na HIGH manake THERE IS VOLTAGE
unapochapa code , unaziandika kwa kufuata kanuni na taratibu ili computer iweze kuzibadili hizo code zako ambazo ni HIGH LEVEL LANGUAGE kwenda kwenye LOW LEVEL LANGUAGE ambayo ndo hiyo binary codes
Ndo maana ukikosea kuprogram computer haiwez kurespond wala kudetect chochote toka kwenye software yako
Sent using
Jamii Forums mobile app