Habari wadau wa mambo ya teknolojia, mimi ni mpenz mkubwa sana wa mambo haya, nimekuja kwenu, nina ombi, nataka kuwa mtengenezaji wa logo, kwani ni kitu ninachokipenda sana.
Hivyo ninaomba mwenye uwelewa na ujuzi aniambie ni software gani nzuri za utengenezaji wa logo nzuri ambazo lazma niwe nazo kwenye laptop yangu kwa ajili ya kutengenezea, nimekuwa nikitumia zile software za kwenye playstore si nzuri sana manake nyingi hazina options nying pia nyingine si nzuri huwez kudesign, manake template zake ziko tayari designed, hivyo naomba mnisaidie software hizo, nizitafute sana sana zile za free...Asanten sana.