Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Katika hilo, Selelii alisema, "Sophia Simba huyu ni mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT). Pia ni waziri anayesimamia utawara bora," chanzo cha habari ndani ya kamati kinanukuu Selelii. Anasema,

"aliyoyasema hapa hayakustahili kutolewa katika kikao hiki. Haya ni maneno yanayopaswa kutolewa kwenye kitchen party. Nimemsikiliza kwa makini, mheshimiwa Simba amezungumza mambo binafsi yanayohusu mtu binafsi," alisema.


Mbili, Selii alisema,

"Sophia Simba amesema hapa kuwa Lowassa ni mwanamme namba moja. Ni mwanamme wa shoka. Akimaanisha kwamba wanaume wote akiwamo rais, waziri mkuu, wabunge na madiwani siyo kitu. Mimi sikubaliani naye. Labda kama mwanamme wa shoka katika masuala mengine," alisema kwa kujiamini.




- Very interesting! Bwa! ha! ha!

- Imean rais kamtuma mengi ya kusema, duh Rais bwana!

es!
 


Two wrongs...........................
 

Amesahau au hajui kuwa Two wrongs............................!!!!
 
angalieni haya yalisemwa lini, kumbe uamuzi huu wa kumtimua huyu mama was too long overdue!, japo umekuja a bit too little too late but something is always better than nothing! .
Paskal
 
Huyu mama alishakuwa jipu long time kitambo
Naamini jamaa hawakuamka tu asubuhi na kumpiga chini, walikuwa watatu lakini wenzake wamepona ila yeyw inaonekana alikuwa mastermind kwenye uchaguzi mkuu akiwasaidia swaiba zake waliotimkia upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…