Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Muhammad alikuwa ana copy mpaka aibu , ka copy visa vya sodoma na Gomorra kutoka wayahudi na wala hajafanya acknowledgement huo ni wizi wa kazi plagiarism
Hivi Mokiti mpaka lini utaacha ujinga mkuu
Grow up man
 
Kila tabia chafu ni ya hiyo dini kasoro usagaji

Kujiuza
Madawa ya kulevya
Kuiba
Ujambazi
Uganga
Utapeli
Ukiwa huna hoja ya kusema huwa mnatafuta pa kukimbilia

Next time bro pita Kulia utakuwa salama zaidi
 
Asante mkuu Kwa kuliona Hilo

Muache afurahie wakati wake wa Uhai hapa duniani lakini atakuja kujua kweli yote
 
Wengi wao mkuu ni Wajinga mno juu ya mafundisho ya Uislamu lakini kwasababu Tu wamejawa chuki wapo tayar kubadilisha kweli iwe uwongo

Sometime tuwavumilie Tu mkuu
 
Asante Sana mkuu

Umesema kweli
 
, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa.
Kisa Cha lutu Muhammad kaiba kutoka wayahudi na hakutoa acknowledgement

Kuhusu ushoga biblia inasema

WALAWI 20 13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
 
Ongelea mada husika

Wapuuzi Kama nyinyi mnauongelea Uislamu

Sio kila mada uchangie next time pita Kulia mkuu itakuwa salama kwako
Nimemjibu Alie andika upuuzi Makachu Anaesema kwenye biblia hakujakatazwa ushoga na wewe ukamsifia , acheni ujinga wewe na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…