Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sikia. Kukaa mnatuletea habari za ushoga ni kuupromoti.

Kama unachukia ushoga huwezi kupoteza muda kuuongelea. Mimi nalog out. Endeleeni kujadili ushoga, mimi nina mambo mengine ya kufanya.
Mbona kama umeumia sana!!!!???? Pole, ushoga siyo kilema, unachohitaji ni msaada wa kisaikolojia tu na utaacha huo mchezo.
 
Mkuu ni kweli kabisa hakuna mwanaume ambae kama ile njia ingekuwa sahihi asingeipita ila wakuu tujitahidi sana kuipuka kwani ile njia ni mbovu... Tumuombe Mungu wetu pia atuepushe tusikutane na wanawake wa aina hiyo... Binafsi mimi hizi siku za karibuni siwafichi ni kama wanawake watano tofauti tofauti naona nguo zao zinaloa sana unyevu sehemu ya haja kubwa... Wangekuwa wanaume ningesema ni jasho la vinyweleo ila ni wanawake sasa... Asee michezo imeshamiri..... Epuka mavi.
 
Kuacha kujadili tatizo haisaidii kulitatua na wala haimaanishi kuwa tatizo halipo. Dawa ya tatizo ni kulitambua na kuchukua hatua. Ushoga upo na unazidi kusambaa tukikaa kimya tutakuja kuwa na taifa la ovyo sana mbeleni, nchi itanuka mavi.
 
Mi naona ushoga tu lakini wanawake wanaingiliwa sana kinyume lakin naona kama ni normal Tu mi binafsi kama mtu ananiletea izo pigo mi ntamtema Tu lakin siwez nikamkashifu au kumsema vibaya maana haitambadilisha, maana ni mwili wake na Mimi hainiathiri chochote yeye anajua kabisa ni vibaya na anafanya sasa wewe utamwelewesha nn tena
,mbona kwenye sigara imeandikwa kwamba haifai lakin watu wanavuta tu
 
Kuacha kujadili tatizo haisaidii kulitatua na wala haimaanishi kuwa tatizo halipo. Dawa ya tatizo ni kulitambua na kuchukua hatua. Ushoga upo na unazidi kusambaa tukikaa kimya tutakuja kuwa na taifa la ovyo sana mbeleni, nchi itanuka mavi.
Mbona kama umeumia sana!!!!???? Pole, ushoga siyo kilema, unachohitaji ni msaada wa kisaikolojia tu na utaacha huo mchezo.
Unasikia ndugu, mimi siwezi kuumia kwa sababu ya ushoga, mnaoumia ni nyie mnaoanzisha nyuzi za ushoga.

Ushoga uenee au hata ukizidi kusambaa mimi hauniongezei wala haunipunguzii chochote.
Mtu alieamua kutumia sehemu yake ya haja kubwa kujistarehesha iweje liwe ni tatizo kwangu mimi nisiyehusika?

Hivyo basi, nyie mnaotuletea agenda za ushoga jukwaani mmetumwa kuleta diversion. Watu tusijadili changamoto zinazotukabili za maji, umeme na kupanda kwa gharama za maisha huku vifaranga vikichoma moto kwa kukosa soko, mnataka tuanze kujadili mikundu ya watu..

Hivi nyie siyo wapumbavu kweli?!
 
Mtu anazaliwa unakuta anapenda Tu kufanya ivo unaeza kumkashifu au kumsema vibaya lakin hata akuelewi. kunamtu anakuambia kabisa sipendi pombe nataman kuacha lakin siwezi ,izi inshu ni sensitive sana kwahiyo ukiona mtu kawa LGBT mpaka wewe ukajua ujue kashapambana na hiyo Hali kibinafsi mpaka kachoka kaamua jamii inichukulie itavyoona,fikiria mtu anakuambia umuingilie au anakuomba akuingilie kinyume kajikaza kiasi gani, alafu we uzani Kwamba maneno yako au hoja zako zitam-badilisha kirais haiwezekani.
 
Nashangaa hapo tyuuh na mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu huwa wanaonekana wanapromoti LGBT lakini sijaona maali wanamuambia awe shoga awe ,au awe transgender .wao wanapinga watu wanao disturb ilo group wanajua ni dhambi lakin kila mtu anazo za kwake lakin anaona za mwenzake ndiyo mbaya zaidi kuliko zake.mtu unakuta anatoa mimba lakin anaona yeye Yuko Okey ,anajiuza anajiona Yuko okay ,anakula mtoto na mama yake lakin anajiona Yuko okay, anakula mke wa Baba yake anaona Yuko sawa ,lakin akisikia mtu ni LGBT anaona uyo ndo shetani yeye ni malaika,ndio maana tunaambiwa tusiukumu tusije tukaukumiwa kama unaona mtu anatabia izo badala ya kurusha maneno embu muombee labda atabadilika
 
Kila mtu afanye kile moyo wake unapenda hii mitizamo ya dhambi au si dhambi atajua yeye na imani yake, wewe kilee kizazi chako vile unavyotaka kiishi huwezi mbadili mtu mzima aliachagua kufilana, kufila au kufilwa madhara sijui dhambi ni zake wewe fanya yako utaishi vizur
 
Alla karuhusu wewe nani upinge.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hali imekua tete duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…