Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sikia. Kukaa mnatuletea habari za ushoga ni kuupromoti.

Kama unachukia ushoga huwezi kupoteza muda kuuongelea. Mimi nalog out. Endeleeni kujadili ushoga, mimi nina mambo mengine ya kufanya.
Nilitoa tahadhari mapema kwamba huu Uzi Una Sauti kubwa kama upo sensitive pita Kulia! Sijui nini kimekufanya kupita hapa!
 
Ni kujiangalia kwa umakini tumesimama vipi na Mungu.. na kujichunguza kwa unyoofu anatuonaje??
Mkuu ni kweli kabisa

Hii dunia IPO salama kwasababu kuna watu wanafanya mema na kukataza mabaya ndio salama yetu

Lau inatokea siku haya hayafanyiki hakika ndio dunia itafikia mwisho
 
Unafamilia?unawatoto?
Kama hivi vitu unavyo utakuwa umeelewa nachomaanisha kama hauna ukipata utamuelewa mtoa mada
 
Unafamilia?unawatoto?
Kama hivi vitu unavyo utakuwa umeelewa nachomaanisha kama hauna ukipata utamuelewa mtoa mada
Sophy nimerudi kwa heshima yako.

Nasema hivi; Bila kujalisha kama nina watoto ama sina, Kujadili ushoga ni Upumbavu.
Kama mleta mada alivyotahadhalisha, ambao hatupendi mijadala ya kipuuzi kama hii ya mashoga tulitakiwa kupita kulia. Sorry! Hamtoniona tena kwenye nyuzi zenu za ushoga.
 
Wakikujibu nitag, hao ni mashoga wasiojikubaliiiiiii.
Wanateseka mnooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana, halafu kibaya zaidi dada zetu wa kiislamu ndo wapo mstari wa mbele kugawa Tigo.
 
Hayo ni maoni yako mkuu wala hayanisumbui

Haya ni mambo ambayo yapo katika jamii yetu na Yana athiri vizazi vyetu lazima tuyapigie kelele

Siku ukisikia mwanao analiwa utakuja kunielewa vizuri

Shukrani.
Wee kwenda zako huko, sasa mtoto wako wee unataka alelewe na nani? Sasa piga kelele hapa JF, afu acha kumlea mwanao ipasavyo, atainamishwa na kukunjwa 7 km kawaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakikuletea shida zao uwe unatatua,sio wote wanapenda kupumuliwa!...
Wapo wanaofanya kwa tamaa,kuiga,dhiki nk..

Kama wewe huli kisamvu wenzako wanakitafuna
 
Sasa wakikuletea shida zao uwe unatatua,sio wote wanapenda kupumuliwa!...
Wapo wanaofanya kwa tamaa,kuiga,dhiki nk..

Kama wewe huli kisamvu wenzako wanakitafuna
Wacha weeee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…