Soda zote kwa ujumla ni sumu!

Mtoa Mada Agiza Soda Apo Ulipo Nakuja Kulipa Umepest Point Sana Ila Ukifikilia Hzo Soda Zimeajili Watu Zaidi Ya Mil 3 Kwa Tz Hii So Let Say Tfda Wakasema Soda Malufuku We Unazani Wafanyakaz Wa Viwandan Watakula Wapi Madeleva Nao Itakuwaje Je Wasambazaji Unaowaona Kila Siku Kwenye Haya Magari Wanapeleka Kwa Wateja Wadgo Nao Itakuwaje Haya Wenye Maduka Ya Vinywaj Maji Soda Vp Nao We Unazani Tz Itaweza Kuwa Ajir Watu Wote Maana Tunavokunywa Nao Ndo Wanapata Pesa. Ok,, Kila Unavokula Na Kunywa Pray First
 
Cokakola ukimwaga chooni husaidia kuondoa uchafu. Niliambiwa sijatafiti. Ni kweli? Kumbuka (no research no right to speak)

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndio shida ya kutumia kitu ambacho siokazi yake hata chumvi ukimwagia kwa konokono huyeyuka. matumz ya soda sio kusafisha choo.................... hivyo hivyo chumvi sio kumwaga kwenye kono kono

FULL STOP
 
Aisee! Wanywa soda acheni, njoo kwenye bia na ngumu kumeza...:D.

Karibuni sana...
 
Vyenye madhara ni vingi tu, inategemea tu na uwezo wa mwili wa muhusika kuhimili...bado waweza kutana Mzee wa miaka 90, na amekunywa na bado anakunywa soda...na upande wa pili unakutana na kijana wa umri mchanga na bado ana changamoto kubwa tu ya kiafya.
 
Hata mwili wa binadamu ni sumu,hewa ya oxygen ni sumu....cha msingi kila kitu fanya kiasi
 
DU! Ndiyo maana ukinywa muda mfupi kabla ya kufanya majamboz na mwenzi wako ni shughuli pevu kupiga bao.Mke anaweza asikuelewe kama una uwezo kisawasawa
 
maji yanaozesha chuma hata kiwe chuma kigumu kwa kiasi gani kikikutana na maji kinaoza
ila bado tunakunywa hivi unajua fanta ikipita kooni utamu wake ni balaa
Twasema Soda ni Soda lakini Fanta inzidi, kwanza sukarie pili rangie :D Utamu mtupu
 
Back
Top Bottom