taginyambi
Member
- Oct 6, 2012
- 28
- 12
Sajuki wa wastara[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]acha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu[emoji23][emoji23][emoji23]acha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
Mkuu bangi ni dawa sio sumu ukitaka uthibitisho njoo nikupe umetoka WHObange nayo inatumiwa na weng VP haina madhara?
Nipe ufafanuzi hapo kwenye vijiko vya sukariIngia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu
Watakuwa ni wale wanafunzi wa class tour. Hii ndiyo type ya maswali wanayoulizagaKwahiyo kama kingenywewa na watu wachache basi kingekuwa sumu!!
Sijawahi kuona bia chungu....au kwa urahisi kabisa,SODA NI SUMU TAMU NA POMBE NI SUMU CHUNGU
Hivi huu ni mwaka wa ngapi natumia soda.Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu