Soda gani unaipenda kuliko zote

Soda gani unaipenda kuliko zote

Inasikitisha sana watu mnashabikia kabisa kunywa soda. So sad. [emoji20][emoji26]
1552150363374.png

MAJI - Knywaji bora kabisa kwa afya zetu!
 
Huwezi kuumwa kwa kuacha soda labda kama style nyingine za maisha nazo mbovu.Sukari unayopata kwenye vyakula vyetu ....mkate,maandazi,chapati,vitumbua n.k inatosha kabisa mwilini
unaweza acha kunywa soda ukapata magonjwa mengine...maisha na mwili wa mtu hauna fomula chamuhimu ni kutumia kwa kiasi tu kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Formula ipo mkuu asikudanganye mtu.Ukiona mtu ameishi maisha marefu ujue kuna mambo mawili.
1.Ulinzi wa Mungu
2.Kujitunza
There is no easy gain.
Tusipokuwa na mpangilio wa maisha hakika tutakufa tu kama mbwa.Maarifa ni muhimu.
unaweza acha kunywa soda ukapata magonjwa mengine...maisha na mwili wa mtu hauna fomula chamuhimu ni kutumia kwa kiasi tu kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom