Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Hahaha hahahaMm ni robot eenh nisinywe soda
Samahani sana mkuu
Hahaha hahahaMm ni robot eenh nisinywe soda
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh na chaiBasi next time tutashabikia MAJI ya Kilimanjaro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu my foot ebu niache mm na ukuu wakoHahaha hahaha
Samahani sana mkuu
AiseeeMkuu my foot ebu niache mm na ukuu wako
Chai yenyewe nasikia Ina madhara japo nimesahau Ni madhara gani[emoji23][emoji23][emoji23] eeh na chai
Kwa karne hii watu wanavyojali afya zao hayo mambo ya soda hayana nafasi.Itaharibu level yako ya sukari mwilini.Be careful!
Sent using Jamii Forums mobile app
Formula ipo mkuu asikudanganye mtu.Ukiona mtu ameishi maisha marefu ujue kuna mambo mawili.
1.Ulinzi wa Mungu
2.Kujitunza
There is no easy gain.
Tusipokuwa na mpangilio wa maisha hakika tutakufa tu kama mbwa.Maarifa ni muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai na maji ndo vinywaji maarufu duniani..[emoji23][emoji23][emoji23] eeh na chai
Download keyboard yenye emoji. Mfano mimi hapa natumia touchpalChai na maji ndo vinywaji maarufu duniani..
N.B ivi mkuu nikitaka nitumie izo imoji nafanya je?
Sent using Jamii Forums mobile app