Soda gani unaipenda kuliko zote

Soda gani unaipenda kuliko zote

Mirinda nyeusi ya baridiiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mirinda nyeusi+chips mayai=mimba
Huwezi kuamini hio colabo ya mirinda nyeusi na viazi imesababisha mimba nyingi sana
 
80 mbali Sana sisi watoto wa 90.kwa hiyo hio ndo ilikuwa soda yenu wahenga?je kwa Sasa ambapo haipatikani unagonga coka ya kawaida au siku hizi mwendo wa lager TU?
Ndio maana hii soda ilikuwepo Tanzania miaka ya 70 na ilikuwa bomba sana haina ukakasi kama hizi mbili zilizotawala dunia kwa sasa. Soda hizo sasa zinapatikana marekani na inasemekani bei yake ni kubwa kuliko hizi mbili za sasa.
 
Daah mimi nikipiga Mirinda Orange yabaridi Au Pepsi ya baridi huwa ni burudani tosha sana.hizo ni soda zangu pendwa
 
Najua tupo ambao huwa hatuchaguagi soda zote sisi tunakunywa tukikuta pepsi fureshi, tukikuta mirinda barida,ukituchukulia coka haikatai,ukituleta Kwenye Sprite mzuka tu,sisi soda yoyote tunakunywa Tena tunakunywa kumaliza
Lakini najua iko moja ambayo ndio haswa chaguo lako yaani ukiipataa hio roho yako inaridhika kabisa.
tutajie soda pendwa moja tu ambayo flavour yake unaizimikia ewe mwana JF.
Nikianza na Mimi mwenyewe soda yangu ambayo siku nikitamani soda nikienda shola nainunua Ni hii inayoitwa spar letta
Mtoa mada upo Kama Mimi jamani[emoji28]
My spar letta....
Na nyingine zote huwa nakunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CLUB.jpg
 
Soda mnywe kwa kiasi sio nzuri kiafya madhara yake ni ya baadae, bora unywe fresh juice.

Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
 
Back
Top Bottom