Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 5,907
- 19,309
Mzee umenipa cheo na hii course yangu nilioipata ndani ya miaka mitatuAsante dokta nimekuelewa sana.
Im humbled mkuu
Mzee umenipa cheo na hii course yangu nilioipata ndani ya miaka mitatuAsante dokta nimekuelewa sana.
ID unayotumia inatanabaisha jinsi ulivyokata tamaa! Kufanikiwa au kufeli kunategemeana na wewe mwenyewe! Woga wako ndio umasikini wako. Pia huwezi kufanikiwa kwa kujifungia ndani, so nakushauri jichanganye na jamii inayokuzunguka itakuwa rahisi kwako kupata marafiki, kazi, mchumba/mke n.k.
Ila pole sana.
Hivi bongo hamna therapist wanaoshughulika na haya mambo ya anxiety na depression naona ni fursa ya kupata pesa sana madaktari fanyeni speciliazion kataika eneo hilo mfungue clinic mtapata pesa. Ni tatizo linalokuwa kwa kasi sana kwa sasa.
Nenda pale Regency umuone Dr Larry Ndosi.Mkuu nakushauri umuone psychiatrist, atakupa anti depressants, ukizitumia kama alivyokuelekeza hilo tatizo linaisha chap.
mkuu mtu hafundishwi akili, fika maahali uamue kubadilika kwakuwa unajua tatizo na unajua A to Z, ucngoje mtu akuforce amua kuwa mtu mpya japo kwakujilazimishaahsante sana mku wangu kwa ushauri na nasaha, kuhusu kitabu cha Dr Wansegamila nimekisoma ila hakijaniletea impact yoyote kwenye maisha yangu nafkiri ni sababu ya mimi kuwa mzito kwenye kufanya maamuzi kwa vitendo, sina mtu/rafiki wa kuniforce/kunishika mkono kwenye kufanya maamuzi ya kwa vitendo