Socialphobia + anxiety + depression + panic attack inaniua taratibu! Msaada

FOXTROT ALPHA

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
324
250
adamu anayeishi kama mimi kweli?
Mshukuru sana Mungu hata umejigundua una matatizo hayo. Pia mshukuru sana upo hai, kuna watu wanapitia mambo mazito sana ukihadithiwa unaweza kutafuta namna ya kumtoroka anaekuhadithia kwa jinsi mambo yanavyotisha. Umewahi kuonana na daktari?
 

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,652
2,000
Nina shida kama yako ila nlipooa nlijua itapungua vurugu za mwanamke nso zikaniongezea. Mm pia sipendi mikusanyiko hata kanisani siendi.

Ila najitibu kwa kuongeza nguvu ya vitu nivipendavyo muda mwingi najaribu kuvifanya ili vinipe furaha. Uzuri nlisoma pia couceling and guidance na psychology hiyo imenisaidia pia kupata mbinu za kupambana na hii hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndelamio

Senior Member
Jun 6, 2015
199
250
Facts:Not having enough sex can put you at risk of anxiety, paranoia and depression
Shida yako ni hii bro👆, ISLETS amekupa ushauri sahihi. Tafuta hela invest in sex, good healthy plenty sex. Usiwaze kuhusu future, itakuja yenyewe hukohuko mbele ya safari wewe piga shoo mpaka mpaka dem a-🙌. Na usijaribu ku-fall kwa demu mmoja utakua unajitengenezea bomu siku akisepa linalipuka. Kuwa player, safely, tumia akili , enjoy life😎
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom