Socialphobia + anxiety + depression + panic attack inaniua taratibu! Msaada

A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,052
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,052 2,000
Pole sana,
Zingatia ushauri wenye kufaa!

Hilo ni pito tu la bonde la uvuli wa mauti lakini Bwana yuko pamoja nawe!
Gongo lake na fimbo lake vikufariji!

Ujaooona usiku umesonga sana na giza nene fahamu kuwa asubuhi yako yako iko karibu yako sana!

Nenda kwenye maombi ukamtwike Yesu fadhaa zako zote nawe utakuwa huru na kuishi maisha Marefu na kuifikia hatima yako Kuu na njema alokuwekea Mungu!
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,052
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,052 2,000
Kuna watu wako na hali ngumu kuliko yako na hawafika pa kukata tamaa, bado wanatumaini la kutoka hapo kwa rehema za Mwenyezi Mungu!

Giza lizipo pambazuko li karibu
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,052
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,052 2,000
Yani ungeenda kutembelea wagonjwa mahututi walioko mawodini na icu ungetoka ukimshukuru Mungu sana kumbe wewe hauna tatizo kabisa yani ungejshangaa sana!
Eti unalaumu wazazi / walezi kwamba hawkukuachia kujichanganga?
Kwa mwenye mtazamo chanya hiyo ataichukulia kama bahati!
Naamini walifanya hivyo kwa upendo ili mabaya yasikupate,
Leo unawalaumu?

Kwa hiyo unehiandaaje ?
Unapoenda unazani ndiyo utaenda kupata ufumbuzi ?
Kule nako kuna maisha yasiyo na mwisho
 
mcfm40

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,321
Points
2,000
mcfm40

mcfm40

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,321 2,000
So
Sio kiivo, sasa ikifika 2025 si hata maji yatakua ishu
Social phobia ni tatizo kubwa sana. Na wengi wanalo ila hawajijui. Ila haiwezekani ujue kiini cha tatizo lako kinagaubaga hivi halafu eti udai linakutesa bado. Si kweli hata kidogo. Unajua wazi hofu uliyonayo ni irrational fear! Yet iendelee kukutesa? Nadhani hujaamua kilimaliza hilo tatizo. Mbinu moja ya kumaliza social phobia ni kuface yale mazingira yanayokupa hofu. Pia kuacha kuwa too conscious of yourself. Acha kujifanyia postmortem baada ya kuzungumza kitu mahali. Yaani yale mawazo km watu wamenionaje, nimeonekana wa hovyo. Etc.
 
Maiti

Maiti

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
65
Points
150
Maiti

Maiti

Member
Joined May 14, 2018
65 150
Yani ungeenda kutembelea wagonjwa mahututi walioko mawodini na icu ungetoka ukimshukuru Mungu sana kumbe wewe hauna tatizo kabisa yani ungejshangaa sana!
Eti unalaumu wazazi / walezi kwamba hawkukuachia kujichanganga?
Kwa mwenye mtazamo chanya hiyo ataichukulia kama bahati!
Naamini walifanya hivyo kwa upendo ili mabaya yasikupate,
Leo unawalaumu?

Kwa hiyo unehiandaaje ?
Unapoenda unazani ndiyo utaenda kupata ufumbuzi ?
Kule nako kuna maisha yasiyo na mwisho
you dont understand mkuu, ila wanaojua nachopitia wanaelewa nini nachopambana nacho.
 
Maiti

Maiti

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
65
Points
150
Maiti

Maiti

Member
Joined May 14, 2018
65 150
So
Social phobia ni tatizo kubwa sana. Na wengi wanalo ila hawajijui. Ila haiwezekani ujue kiini cha tatizo lako kinagaubaga hivi halafu eti udai linakutesa bado. Si kweli hata kidogo. Unajua wazi hofu uliyonayo ni irrational fear! Yet iendelee kukutesa? Nadhani hujaamua kilimaliza hilo tatizo. Mbinu moja ya kumaliza social phobia ni kuface yale mazingira yanayokupa hofu. Pia kuacha kuwa too conscious of yourself. Acha kujifanyia postmortem baada ya kuzungumza kitu mahali. Yaani yale mawazo km watu wamenionaje, nimeonekana wa hovyo. Etc.
asante kwa ushauri
 
Maiti

Maiti

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
65
Points
150
Maiti

Maiti

Member
Joined May 14, 2018
65 150
Pole sana,
Zingatia ushauri wenye kufaa!

Hilo ni pito tu la bonde la uvuli wa mauti lakini Bwana yuko pamoja nawe!
Gongo lake na fimbo lake vikufariji!

Ujaooona usiku umesonga sana na giza nene fahamu kuwa asubuhi yako yako iko karibu yako sana!

Nenda kwenye maombi ukamtwike Yesu fadhaa zako zote nawe utakuwa huru na kuishi maisha Marefu na kuifikia hatima yako Kuu na njema alokuwekea Mungu!
asante sana kwa kunipa matumaini
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,052
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,052 2,000
you dont understand mkuu nashukuru kwa akuni-blame ila wanaojua nachopitia wanaelewa nini nachopambana nacho.
Ndo maana awali nikianza kwa kukupa pole!

Labda ujaribu kufunguka zaidi ili tukushauri vizuri lakini kwa kuzingatia hayo ulosema awali ndo hivyo!

Mimi nimejaribu kuku challenge mindset yako ifike mahali ujione kumbe wewe tatizo lako ni dogo sana na ni la kupita tu!

Hata waliofanikiwa maishani ukipata bahati wengine wakafunguka kukwambia waliyopitia utashangaa nakuona kumbe lako unalopitia ni dogo sana!

Kwanza cha kwanza wewe sijasoma mahali uliandika kuwa unaumwa,

Inamaana afya yako ni njema,

Wanasemaga “kiombwacho uzima kupata majaliwa”

Halafu usizani uko peke yako unaepitia mapito watu wanamapito lakini wanaamini Mungu atawawezesha kushinda na maisha lazima yaendelee.

Sasa nikuulize huko kufa unakotaka unazani ndiyo suluhisho?
Je huko unakotaka kwenda unakujua?

Na unataka kuondoka kwa njia gani?

Maana ukiondoka vibaya ukifika kule ni mateso zaidi na ya milele bila mwisho!

Fahamu Mungu anakupenda sana na atakuvusha kwenye hayo unayopitia!

No situation is permanent.
 
Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top