Socialphobia + anxiety + depression + panic attack inaniua taratibu! Msaada

ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,072
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,072 2,000
Are you masturbator??

Are you empathic?

Are you oversensitive person?

Najua una childhood trauma lakini you need to join meditation classes.
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,537
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,537 2,000
Pole sana ndugu yngu bwana @Maiti
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/tifutifu.

Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu ntakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety.

Mimi ni kijana mwenye umri 29, ambaye mpaka sasa siwezi kujieleza, sina confidence, sijui kipaji changu, sina marafiki, sihudhurii misiba, sherehe na shughuli zote zenye mikusanyiko ya watu ( na ukinipigia simu kunialika nije basi nitatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu ili mradi tu nisije ili niwe free), sina girlfriend/mke, most of my time napenda kushinda mwenyewe, sina kazi, sina ajira rasmi.

Nilikuwa college nasoma degree ila anxiety ikanifanya nikatishe masomo yangu ili niwe free maana sikuweza kuhimili hofu ya kujumuika na wenzangu kwenye discussions/ presentation na mengine mengi yanayohusiana na kujieleza.

Nimesali sana ila sasa nimepoteza imani ya Mungu ninayemtumikia maana anaona ninayoyapitia ila anakausha so what next? it means nipo duniani kimakosa right? so sioni faida ya kuishi mpaka sasa.

Kuhusu familia naweza kusema kuwa 95% sikuwa treated right, my parents walikuwa overprotective sana sikupewa ule uhuru wa kujichanganya na wenzangu pale nilipohitaji na sikupewa ule uhuru wa kujieleza zaidi pale nilipohitaji kufanya hivo so hii iliaffect maisha yangu ya utoto kuanzia kushiriki michezo na wenzangu mitaani , darasani katika shule zote nilizopita na hadi chuo kikuu.

Hii imeathiri vipikitaaluma?
Mfano unaweza ukawa unajua kitu na wengine hawajui sasa unatamani uwajuze/ujibu ila sababu ya anxiety siwezi kufanya hivo tena so nakaa nalo moyoni hii yote sababu siko na nguvu ya kujieleza.

Niko na low self esteem/sijikubali kwa kweli na hii siyo kwa mapenzi yangu ila nahisi kuna baadhi ya stages nilipokuwa mtoto sikuzipitia vyema na hazikuwa fair kwangu na ndizo zimeleta haya nayopitia sasa.

Not talkative at all. Ni mwepesi kuchange mood haraka pale napokwazika, kinachonishangaza zaidi ni kwamba kila napokwazika au nikikumbana na situation yoyote ambayo inanilazimu nilie ili nisahau ila SILII nakaa nalo moyoni na kila nikijaribu kujilazimisha kulia machozi hayatoki! ila tumboni na moyoni nasikia maumivu sana its like kama roho inalia sana ndani kwa ndani ila uso mkavu hauoneshi zaidi ya kubaki kutetemeka tu na kutokwa jasho + mapigo ya moyo kwenda kasi.

Hivi kuna binaadamu anayeishi kama mimi kweli?

Mwisho niseme tu kwamba anxiety imeathiri my lifestyle/ sio mtu wa kucheka/kufurahi at all, sio mtu wa kula japo uwezo kupika/kununua chakula ninao kwa maana hiyo nimedhohofu sana kimwili, anxiety imeathiri uwezo wangu wa kufikiri sababu sio mtu wa kujichanganya na watu so nashindwa kuwaza na kuongea vitu vya kujenga zaidi, anxiety imeathiri imani yangu kiroho si mkristu wala muislamu, anxiety imenipotezea marafiki wengi wao wanahisi naringa ila ukweli ni kwamba siko hivyo, nawa/niliwahitaji sana kwenye mambo yangu ya mafanikio ila hofu imefanya kutojumuika nao.

Nimekata tamaa ya kuishi. Ni bora nilale usingizii wa milele ili niepuka tabu hizi ambazo Mungu wenu anaona ila ananikaushia tu. Wanasema Mungu hakupi mzigo usiouweza pia wanasema What doesnt kill you make you stronger ila kwa hii hapana kwa kweli.

Binafsi sinywi pombe, sivuti unga wala sigara sina tabia mbaya za kimakundi/wahuni kwa hilo nashukuru ila natamani nianze kunywa pombe ila naogopa sitaacha maana ndo itakuwa tabia yangu daima incase matatizo yangu nikayasahau kwa muda mfupi baada ya kulewa.

Niombe radhi kwa mwandiko wangu mbovu dunia nzima utadhani nimezaliwa Rwanda huko kumbe ni mtz na mdaresalaam wa hapa hapa!

Yaani hapa nilivyoandika hivi najisikia amani sana its like kama kuna kamzigo nimekatua hivi mwilini mwangu.

Niwashukuru wale wote mlio/mnaoshirikiana nami kwenye maisha yangu ya kawaida/ mtaani, college na mitandaoni.
 
Maiti

Maiti

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
65
Points
150
Maiti

Maiti

Member
Joined May 14, 2018
65 150
Ndo maana awali nikianza kwa kukupa pole!

Labda ujaribu kufunguka zaidi ili tukushauri vizuri lakini kwa kuzingatia hayo ulosema awali ndo hivyo!

Mimi nimejaribu kuku challenge mindset yako ifike mahali ujione kumbe wewe tatizo lako ni dogo sana na ni la kupita tu!

Hata waliofanikiwa maishani ukipata bahati wengine wakafunguka kukwambia waliyopitia utashangaa nakuona kumbe lako unalopitia ni dogo sana!

Kwanza cha kwanza wewe sijasoma mahali uliandika kuwa unaumwa,

Inamaana afya yako ni njema,

Wanasemaga “kiombwacho uzima kupata majaliwa”

Halafu usizani uko peke yako unaepitia mapito watu wanamapito lakini wanaamini Mungu atawawezesha kushinda na maisha lazima yaendelee.

Sasa nikuulize huko kufa unakotaka unazani ndiyo suluhisho?
Je huko unakotaka kwenda unakujua?

Na unataka kuondoka kwa njia gani?

Maana ukiondoka vibaya ukifika kule ni mateso zaidi na ya milele bila mwisho!

Fahamu Mungu anakupenda sana na atakuvusha kwenye hayo unayopitia!

No situation is permanent.
kwa njia yoyote isiyo na maumivu,

hayo mateso ntayokutananayo huko ni bora zaidi kuliko ya hapa duniani. Kama kweli Mungu aliamua niishi maisha haya japo sikutaka niishi hivyo basi atakua kanikosea hata nikiwahi kwenda kwake lakujibu ninalo, nimehangaika kadri ya uwezo wangu nimeshindwa kibinaadam, siku zote hizo why asitoe suluhisho mapema ili nisiwahi kwenda kwake? Hajui kwamba kupona kwangu ni mafanikio ya watu wengine? Kiukweli najuta kuishi na familia ambayo haikua na mapenzi ya dhati kwangu yale ya kunijenga. I have to go, potelea mbali.
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,831
Points
2,000
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,831 2,000
Bro mambo vipi hilo tatizo bado upo nalo?njoo pm tafadhali
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,052
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,052 2,000
kwa njia yoyote isiyo na maumivu,

hayo mateso ntayokutananayo huko ni bora zaidi kuliko ya hapa duniani. Kama kweli Mungu aliamua niishi maisha haya japo sikutaka niishi hivyo basi atakua kanikosea hata nikiwahi kwenda kwake lakujibu ninalo, nimehangaika kadri ya uwezo wangu nimeshindwa kibinaadam, siku zote hizo why asitoe suluhisho mapema ili nisiwahi kwenda kwake? Hajui kwamba kupona kwangu ni mafanikio ya watu wengine? Kiukweli najuta kuishi na familia ambayo haikua na mapenzi ya dhati kwangu yale ya kunijenga. I have to go, potelea mbali.
Hapana usiende @ ndugu!

Kumbuka aliyofanyiwa Yusuf na nduguze,
Kwanza walitaka kumuua kabisa baadae wakaamua kumuuza kwenda utumwani!

Yusuf alistahamili yote, kufika kule akapewa Kwesi ya kubaka mke wa bosi kwa kusingiziwa, akatupwa gerezani,

Angalia mtirirko wa hiyo mitihani, lakini hakuwaza kujiangamiza moyoni mwake, alimwamini Mungu,
Baadae Mungu alikuja kumuinua akawa Waziri mkuu, kukatokea baa la njaa wale nduguze walotaka kumuua na kumuuza walienda kwake Yusuf, akawapokea bila kisasi, akawalisha!

Hata wewe ukipata mafundisho sahihi ya Neno la Mungu hakika utavuka hapo,

Mungu atakuinua hao wanokuona huna maana watakuja na wajukuu zao kuomba msaada kwako!
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,072
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,072 2,000
sifanyi nyeto mkuu. Ni kweli oversensitive person ambae ni introvert.
Embu Google ujue Kama nijue kama wewe Ni empathic person??

Je unapenda mwili wako???

Kabla ya kukushauri nijue hayo kwanza
 
0905

0905

Member
Joined
Jun 29, 2016
Messages
83
Points
125
0905

0905

Member
Joined Jun 29, 2016
83 125
kwa njia yoyote isiyo na maumivu,

hayo mateso ntayokutananayo huko ni bora zaidi kuliko ya hapa duniani. Kama kweli Mungu aliamua niishi maisha haya japo sikutaka niishi hivyo basi atakua kanikosea hata nikiwahi kwenda kwake lakujibu ninalo, nimehangaika kadri ya uwezo wangu nimeshindwa kibinaadam, siku zote hizo why asitoe suluhisho mapema ili nisiwahi kwenda kwake? Hajui kwamba kupona kwangu ni mafanikio ya watu wengine? Kiukweli najuta kuishi na familia ambayo haikua na mapenzi ya dhati kwangu yale ya kunijenga. I have to go, potelea mbali.
Jamani,usikate tamaa mapema..
Mshukuru Mungu kwa kila jambo japo ni ngumu
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,537
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,537 2,000
asante ndugu yangu.
Jitahidi sana ukiwa peke yako uwe unaongea mwenyewe.

Kuna mambo huwa unatamani watu wayajue na uwafahamishe sasa hayo mambo jitahidi ukiwa peke yako yazungumze kana kwamba unajifanya uko na watu unawaelekeza.

Watu mfano wako wanakuwa na mambo mengi wanayajua lakini wanakosa watu wa kuwaambia.hivyo kunakuwa na lundikano wa mawazo kichwaani mwako.

Lakini pia usiidanganye akili yako kwamba sababu ni wazazi hapana.

Wazazi walisha play part yao kukukuza vile ambavyo wao wanataka.

Sasa ni zamu yako kujikuza vile ambavyo unataka kwa sababu sasa ni umri wako wa kujilea mwenyewe.

KUWA VILE UNATAKA KUWA.
unanguvu kubwa ya kuishi utakavyo,una nguvu kubwa ya kuamua wewe uwe nani,una nguvu kubwa ya kuamua kwamba uwe na furaha ama usiwe nayo.

Wazazi hawalaumiki kwa namna yeyote ile kutokana na hali yako uliyonayo.tuna akili,tuna uwezo wa kujiendesha kabisa.

Jaribu kujiuliza kwamba unadhani ni kitu gani hasa kikuuubwaa ambacho kinakushinda wewe kujichanganya na watu nukawa unapiga stori?

Ni kipi hasaaaa unahisi hicho hata iwe vipi siwezi kukiepuka?
 
F

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
2,784
Points
2,000
F

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
2,784 2,000
asante kwa ushauri mkuu. Tatizo langu kwenye mazoezi ni mvivu naweza nkaanza wiki moja wiki inayofuata naacha. narudi tena pale pale.
Fanya michezo ili kuongeza hamasa ya mazoezi,kwa mfano mpira,kuogelea na muziki.
Udhulia midahalo na makongamano,warsha na mikusanyiko ya kiimani.
 
bg2017

bg2017

Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
31
Points
125
bg2017

bg2017

Member
Joined Jul 31, 2017
31 125
Nilishakia na tatizo.kama.lako kuna doctor (you tube channel anaitwa( dr. Daniel fox) ukitulia na kumfuatilia vizuri hilo tatizo linaisha ndani ya wiki na kwa muongozo wake haitokuja kukirudia tena.unaweza kutumia madawa lakini menhi yana (side effects) baadae utajikuta huwezi kuishi bila madawa
 
Maiti

Maiti

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
65
Points
150
Maiti

Maiti

Member
Joined May 14, 2018
65 150
Jitahidi sana ukiwa peke yako uwe unaongea mwenyewe.

Kuna mambo huwa unatamani watu wayajue na uwafahamishe sasa hayo mambo jitahidi ukiwa peke yako yazungumze kana kwamba unajifanya uko na watu unawaelekeza.

Watu mfano wako wanakuwa na mambo mengi wanayajua lakini wanakosa watu wa kuwaambia.hivyo kunakuwa na lundikano wa mawazo kichwaani mwako.

Lakini pia usiidanganye akili yako kwamba sababu ni wazazi hapana.

Wazazi walisha play part yao kukukuza vile ambavyo wao wanataka.

Sasa ni zamu yako kujikuza vile ambavyo unataka kwa sababu sasa ni umri wako wa kujilea mwenyewe.

KUWA VILE UNATAKA KUWA.
unanguvu kubwa ya kuishi utakavyo,una nguvu kubwa ya kuamua wewe uwe nani,una nguvu kubwa ya kuamua kwamba uwe na furaha ama usiwe nayo.

Wazazi hawalaumiki kwa namna yeyote ile kutokana na hali yako uliyonayo.tuna akili,tuna uwezo wa kujiendesha kabisa.

Jaribu kujiuliza kwamba unadhani ni kitu gani hasa kikuuubwaa ambacho kinakushinda wewe kujichanganya na watu nukawa unapiga stori?

Ni kipi hasaaaa unahisi hicho hata iwe vipi siwezi kukiepuka?
am sorry tu say this, i hate my parents so much, unaposema waliplay part yao naona kama umependezwa na malezi yao hadi hii leo nakuja kuandika maombi ya msaada hapa JF. THEY FAILED TO RAISE ME. Wamefanya niishi maisha yakutokua mtu wa kujichanganya na watu, wamenipa adhabu ambazo sikustahili kwa wakati huo, nimekuwa so embarrased mbele ya marafiki zangu wa utotoni, wamenipa nidhamu ya uoga. Niwapo kwenye maongezi na watu kila napotaka kuongea nashindwa maneno yanapotea kichwa kinabaki cheupe, naishiwa nguvu, natetemeka, anxiety inakua juu mapigo ya moyo yanakwenda kasi, pumzi navuta kwa shida its like kama zinapungua na nazihitaji, kizunguzungu kinanijia then naondoka mahali nlipo naenda sehemu safe yoyote niliyoizoea ambayo nitakua mwenyewe hapo ndo inakua pona yangu. baada ya hapo naanza kujilaumu feelings za kulia zinanijia ila machozi hayatoki naumia ndani kwa ndani.
 
Mkuu ninachokisema nakielewa vizuri sana.

Umri ambao wazazi wamekulea ni mchache sana ukilinganisha na umri ambao utakuja kuishi bila wazazi.
Hivyo wazazi umeishi nao kwa muda mchache tu.mda mwingi utakuwa peke yako na utajilea mwenyewe.

"njia bora ya kuondokana na uwoga ni kufanya kile unachokiogopa"

Usipeleke lawama kwa wazazi,utajikuta upo hapo hapo,azima ujue kwamba wazazi walikosea kukulea vile,nahapo sasa baada ya kusema walikosea sasa ujiulize jee uo tayari kyishi kwa matokeo ya makosa yao? NOOOO NOOO HAUPO TAYARI.

Sasa anza kuchukua hatua mda huu,huu ndio mda wako wa kuweka lawama pembeni na kuangalia namna gani utalitatua tatizo hilo pasi na kuwalaumu wazazi,kwani UKILAUMU SANA WENGINE INAKUFAYA UJIONE WEWE NI MSAFI SANA.

Njia ya kwanza ambayo itaweza kukutoa katika janga hili ni kwanzakuwapa wazazi UDHURU kwamba wlikuwa n nia njema huwenda walikosea katika matendo yao.sasa wahukumu kwa ile nia yao njema na sio yale matendo yao.
Kwani lau wangelikuwa hawana nia njema ingekuwa UMESHAKUFA ZAMANI WEWE.kwa nini upo paka sasa hivi? Kwa sababu yao,hawakukutilia sumu wala kukupangia njama za kukuuwa bali walijitahidi kukufikisha hapo ulipo.

tatizo ni wewe sio wazazi,wao wameshamaliza kazi yao na sasauko wewe ndo muamuzi nani uwe.

Unadhani ukiwa ndani ya shimo alafu ukawa unandelea kulichimba utafanikiwa?hapana bai acha kuchima himo ukiwa shimoni.

Acha kuongeza lawama kwa wazazi wakati bado upo katika matatizo yako na unahitaji kuyatatua kwa namna yeyote ile.
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,072
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,072 2,000
hapana sio empathic. naupenda mwili wangu ila niko na low self esteem
Basi tatizo ni you are NOT fair to yourself, unajicompare sana na watu.

Mimi sometimes nakuwa na hisia km zako ila hazichukui zaidi ya saa 1 zinaisha,niamini mimi nakuelewa Sana yaani vyote unavyosema Mimi nishawahi kujifeel hivo nakuelewa moja kwa moja bila chenga.

Embu jaribu kukubali Kwanza upo hivo na unaweza kuwa bora zaidi ya hivo...jisemee vitu vizuri vizuri halafu usiwaze madhaifu yako kabisa.

Toka nje usikae ndani na ukiwa ndani angalia comedy movie tu.

Fanya vikazi vidogo vidogo.

Nenda beach mara nyingi uwezavyo.

Tafuta mwanamke sio kwa serious relationship bali kwa ngono tu.Hii ni tiba kabisa badala ya pombe tafuta mwanamke, wanawake Hawa ni Dawa tosha hasa wakikupa great sex.
 
sawa mkuu, asante.
 
N

NEVADA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2017
Messages
131
Points
250
N

NEVADA

Senior Member
Joined Oct 15, 2017
131 250
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/tifutifu.

Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu ntakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety.

Mimi ni kijana mwenye umri 29, ambaye mpaka sasa siwezi kujieleza, sina confidence, sijui kipaji changu, sina marafiki, sihudhurii misiba, sherehe na shughuli zote zenye mikusanyiko ya watu ( na ukinipigia simu kunialika nije basi nitatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu ili mradi tu nisije ili niwe free), sina girlfriend/mke, most of my time napenda kushinda mwenyewe, sina kazi, sina ajira rasmi.

Nilikuwa college nasoma degree ila anxiety ikanifanya nikatishe masomo yangu ili niwe free maana sikuweza kuhimili hofu ya kujumuika na wenzangu kwenye discussions/ presentation na mengine mengi yanayohusiana na kujieleza.

Nimesali sana ila sasa nimepoteza imani ya Mungu ninayemtumikia maana anaona ninayoyapitia ila anakausha so what next? it means nipo duniani kimakosa right? so sioni faida ya kuishi mpaka sasa.

Kuhusu familia naweza kusema kuwa 95% sikuwa treated right, my parents walikuwa overprotective sana sikupewa ule uhuru wa kujichanganya na wenzangu pale nilipohitaji na sikupewa ule uhuru wa kujieleza zaidi pale nilipohitaji kufanya hivo so hii iliaffect maisha yangu ya utoto kuanzia kushiriki michezo na wenzangu mitaani , darasani katika shule zote nilizopita na hadi chuo kikuu.

Hii imeathiri vipikitaaluma?
Mfano unaweza ukawa unajua kitu na wengine hawajui sasa unatamani uwajuze/ujibu ila sababu ya anxiety siwezi kufanya hivo tena so nakaa nalo moyoni hii yote sababu siko na nguvu ya kujieleza.

Niko na low self esteem/sijikubali kwa kweli na hii siyo kwa mapenzi yangu ila nahisi kuna baadhi ya stages nilipokuwa mtoto sikuzipitia vyema na hazikuwa fair kwangu na ndizo zimeleta haya nayopitia sasa.

Not talkative at all. Ni mwepesi kuchange mood haraka pale napokwazika, kinachonishangaza zaidi ni kwamba kila napokwazika au nikikumbana na situation yoyote ambayo inanilazimu nilie ili nisahau ila SILII nakaa nalo moyoni na kila nikijaribu kujilazimisha kulia machozi hayatoki! ila tumboni na moyoni nasikia maumivu sana its like kama roho inalia sana ndani kwa ndani ila uso mkavu hauoneshi zaidi ya kubaki kutetemeka tu na kutokwa jasho + mapigo ya moyo kwenda kasi.

Hivi kuna binaadamu anayeishi kama mimi kweli?

Mwisho niseme tu kwamba anxiety imeathiri my lifestyle/ sio mtu wa kucheka/kufurahi at all, sio mtu wa kula japo uwezo kupika/kununua chakula ninao kwa maana hiyo nimedhohofu sana kimwili, anxiety imeathiri uwezo wangu wa kufikiri sababu sio mtu wa kujichanganya na watu so nashindwa kuwaza na kuongea vitu vya kujenga zaidi, anxiety imeathiri imani yangu kiroho si mkristu wala muislamu, anxiety imenipotezea marafiki wengi wao wanahisi naringa ila ukweli ni kwamba siko hivyo, nawa/niliwahitaji sana kwenye mambo yangu ya mafanikio ila hofu imefanya kutojumuika nao.

Nimekata tamaa ya kuishi. Ni bora nilale usingizii wa milele ili niepuka tabu hizi ambazo Mungu wenu anaona ila ananikaushia tu. Wanasema Mungu hakupi mzigo usiouweza pia wanasema What doesnt kill you make you stronger ila kwa hii hapana kwa kweli.

Binafsi sinywi pombe, sivuti unga wala sigara sina tabia mbaya za kimakundi/wahuni kwa hilo nashukuru ila natamani nianze kunywa pombe ila naogopa sitaacha maana ndo itakuwa tabia yangu daima incase matatizo yangu nikayasahau kwa muda mfupi baada ya kulewa.

Niombe radhi kwa mwandiko wangu mbovu dunia nzima utadhani nimezaliwa Rwanda huko kumbe ni mtz na mdaresalaam wa hapa hapa!

Yaani hapa nilivyoandika hivi najisikia amani sana its like kama kuna kamzigo nimekatua hivi mwilini mwangu.

Niwashukuru wale wote mlio/mnaoshirikiana nami kwenye maisha yangu ya kawaida/ mtaani, college na mitandaoni.
Halafu mbona unajiita maiti ? . Hebu badilisha hilo jina si zuri . We ni mshindi na umezaliwa kushinda , jiamini na utafanya makubwa maishani .
 
Forum statistics

Threads 1,315,253
Members 505,171
Posts 31,851,499
Top