Social networks za Google +, Facebook na Twitter... Ipi unapenda zaidi?

Social networks za Google +, Facebook na Twitter... Ipi unapenda zaidi?

nasikia Malaria Sugu nae anayo forum yake

teh teh teh
 
JF ndiyo kiboko yao, mtu unaweza ukaamua kutema ngeli halafu vilaza wanaishia kulialia tu kwa kushindwa kutafsiri kudadadeki.

Those who think they know it all are very annoying to those of us who do
 
Kwa ma social network addict tunatumia Twitter. Facebook iko poa ila ina limitation zake, mfano; kwenye facebook watu watakushangaa ukipost status tano au kumi kwa siku, wakati kwenye Twitter ukipost hivyo mtu unakuwa upo kwenye minimum range, watu wanapost mpk 40 kwa siku. Myspace is old skool, Google + & Tagged binafsi sina experience nazo.
 
<br />
<br />
waambie hao..facebook uki update status mara 10 ndani ya dakika 5 watu wata kushangaa, ila kwenye twitter ni kawaida tu.
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt; &amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt; facebuuk ni bomba sana
&lt;br /&gt; &lt;br /fb imebobea zaid kwenye mambo ya relationship, GOOGLE+JAMIIFORUMS ndo mpango mzima
 
Back
Top Bottom