Social media na ndoa yangu

Social media na ndoa yangu

Unapojua nyumbani kunawaka moto ni pale muda wa kazi umekwisha kila mtu anaharakisha nyumbani wewe unaomba iwe ndiyo saa moja na nusu unaanza kazi. Ikifika stage hiyo ujue aither uchukue begi uondoke au ufukuze.
 
Sikiliza jamaa yangu kuwa kama mwanaume unayejielewa mbona issue hiyo mdogo Sana mnyang'anye hiyo smart phone halaf mnunulie simu ya kawaida na onyesha uko serious aache ujinga ukiona kama bado haeleweki mrudishe kwako akawaambie wazazi wake kuwa Facebook ndo iliyomuoa atabadilika, huo ujinga unashindwaje kumcontrol ubavu wako bwana bila usimpige ndoa nzuri ni ile ambayo kila mmoja anajitahidi kutafuta furaha ya mwenzake sasa yeye kuweka mambo ya ndani mtandaoni unaona like na comment zitamsaidia kutunza ndoa yake ujinga huo
 
Hahitaji kumnyanyasa apige chini tu, huyo atakuwa ana mchepuko unamzuzua akichelewa yeye atamwahi.
Sikiliza jamaa yangu kuwa kama mwanaume unayejielewa mbona issue hiyo mdogo Sana mnyang'anye hiyo smart phone halaf mnunulie simu ya kawaida na onyesha uko serious aache ujinga ukiona kama bado haeleweki mrudishe kwako akawaambie wazazi wake kuwa Facebook ndo iliyomuoa atabadilika, huo ujinga unashindwaje kumcontrol ubavu wako bwana bila usimpige ndoa nzuri ni ile ambayo kila mmoja anajitahidi kutafuta furaha ya mwenzake sasa yeye kuweka mambo ya ndani mtandaoni unaona like na comment zitamsaidia kutunza ndoa yake ujinga huo
 
Unapojua nyumbani kunawaka moto ni pale muda wa kazi umekwisha kila mtu anaharakisha nyumbani wewe unaomba iwe ndiyo saa moja na nusu unaanza kazi. Ikifika stage hiyo ujue aither uchukue bege uondoke au ufukuze.
Daah kazi kweli kweli, pesa ngumu, nyumbani tena ukifika kugumu, binadamu hawana huruma aisee
 
we wala hujielewi habari gani kama angekuwa anapost picha zake na marafiki zake wakiwa kazini? ama wakiwa kwenye maeneo ya starehe na wanaume wengine? haiwezekani mumewangu akatae nikimpost mtandaoni coz yeye ndo niko proud nae au kunamtu yuko mtandaoni hutaki ajue kwamba una mke na watoto?
 
Wanawake ni viumbe complicated Sana akiamua kitu ukimwambia hupendi hata Kama ni kibaya ataona wamwonea na atafanya tu dhahiri au kwa kujificha.
Kwa upande wangu naona haipendezi kukaa na mtu anae kupa stress kisa kibri chake.Cha msingi kama ni mtu una uwezo wako peleka watoto boarding ,poromosha mjengo mwingine ishi maisha yako. inawezekana kabisa hata kama umezaa nae huyo mwanamke sio ubavu wako ambao Mola alikuumbia bali ni ubavu wa mitandao ya kijamii.
Mpige talaka ya herufi kubwa lakini watch out hizo Mali mlizo chuma wote make sure mnagawana fairly au mziandikishe kwa ajili ya watoto zenu.
 
Anachofanya mkeo kuanika mambo yenu mitandaoni si sahihi. Ila na nyie type za wanaume mnaojidai wastaarabu sana mnakuwaga na gubu la kondoo dume.
 
Anachofanya mkeo kuanika mambo yenu mitandaoni si sahihi. Ila na nyie type za wanaume mnaojidai wastaarabu sana mnakuwaga na gubu la kondoo dume.

Mwanamke akiwa na matatizo ya ndoa atatafuta mtu wa kumwambia tu, either mama yake, dada, rafiki au huko kwenye social media. Sasa ni ule wakati mmeshayamaliza matatizo yenu, mama anakumbusha si alifanya hivi na vile, unajuta kwanini nilisema.
 
Duu!! sasa sijui tuanzie wapi. Maana tukisema uende kwa washauri, Juzi humu ndani habari imeletwa MSHAURI ANATEMBEA NA MKE WA MSHAURIWA.

Cha msingi, Tulia mweleze kila kiu, na impact ya maamuzi anayochukua ya kutokukusikiliza. Tulia tafakari angalia faida na hasara ya kutokuwa na MKE, Usisahau sala, kama unaamini katika Kufunga FUnga, Ili upate uamuzi wenye nguvu wa Hatma ya maisha yako. Tulia kwanza mkuu, Kufunja ndoa ni rahisi lakin madhara yake ni makubwa kwako na kwa watoto.
Na mara nyingi hua ni hivyo msuluhishi wa ndoa hugeuka na kuanza kumtafuna mke wa aliyeleta shauri kwake.
 
Najuta sana kufungua huu uzi aiseeee....
Nimekumbuka maumivu tu..
Hapa nimejikuta hadi msukumo wa damu mwilini unaenda kombo...
 
Kabla hatujaenda mbali...Hizo picha za facebook zilizoku"degrade" ni za aina gani? Za uchi?????

I
Maana haileti picha kuwa picha tu zisababishe mapenzi yaishe.... msisshirikishane kiuchumi nk nk

Pia hebu jikague mpaka mkeo kero anapeleka fb..basi mna tatizo kubwa ....

Pia hamjaoa malaika ...kama madhaifu yako anakuvumiloa kinachokufanya ushindwe kumvumilia ni nini?
Picha haijalishi kama za aibu ama ni za aina gani. Kikubwa na kumsikiliza upande wa pili kama yeye binafsi hataki basi ni la kuheshimu hilo........

Hivi unadhani mapenzi yanaisha kwa vitu vikubwa? Haya mambo madogo madogo ndiyo yanayomaliza mapenzi.......
 
Mleta mada nadhani hili swala linazungumzuka ......na ndiyo maana kuna walezi wa ndoa . kaongee nao hao ili mpate suluhu. Kama anaipenda ndoa yake basi atawasikiliza na kama nae amechoka kama wewe basi mtaachana.
 
Sikiliza jamaa yangu kuwa kama mwanaume unayejielewa mbona issue hiyo mdogo Sana mnyang'anye hiyo smart phone halaf mnunulie simu ya kawaida na onyesha uko serious aache ujinga ukiona kama bado haeleweki mrudishe kwako akawaambie wazazi wake kuwa Facebook ndo iliyomuoa atabadilika, huo ujinga unashindwaje kumcontrol ubavu wako bwana bila usimpige ndoa nzuri ni ile ambayo kila mmoja anajitahidi kutafuta furaha ya mwenzake sasa yeye kuweka mambo ya ndani mtandaoni unaona like na comment zitamsaidia kutunza ndoa yake ujinga huo
 
Kwenye kufunga hapo ni mtihani, maana Mungu siku hizi hata sala ni kama hasikilizi tena, Maovu yamezidi. Na wanaoyafanya na kuyatenda ni sisi
KARUMANZIRA ANAKUHUSU,NENDA KAMUONE ILA JICHUNGE MKUU,MAANA HUYO HAKAWII KUJIPIMIA.
 
Nilishawahi kuwa na mwanamke wa namna hii kifupi omba sana Mungu akusimamie na ndoa yako idumu, mi nilishindwa na kila nilivyozidi kuvumilia ndivyo damage alizidi kuwa kubwa nikajinasua japo nilipata hasara ya mali ila nilishukuru. Kuwa na wrong woman ni mwiba na mtihani mgumu kuliko yote maishani yaani Uhuru unapotea na maisha yenu binafsi yatakuwa live mtandaoni na kila unavyovumilia ndo madhara yanaongezeka
 
Back
Top Bottom