Soccer Gallery Collection

George Weah

Ndiye mchezaj pekee kwa Africa hadi sasa kushinda ballon d'Or 1995, mchezaji bora wa Africa mara 2 ,the greatest African player 20 century.

1995 mchezaji bora ulaya ,mchezaji bora wa FIFA ,mchezaji bora wa BBC ,aliorodheshwa kwenye orodha ya wachezaji bora 100 wa FIFA.

Bado tu unataka nyingine kweli
Anaitwa George Wear Liberian by Nation.
 
Roger Milla

Ndiye mchezaj mwenye umri mkubwa 42yrs kufunga kwenye kombe la duniani anashikilia hiyo nafasi .

CAF walimtunuku African player of century pia huyu mzee yupo kwenye ile orodha ya FIFA ya wachezaji 100.
 
Essam El-Hadary

Drogba mwenyewe alikiri na akampigia saluti huyu jamaa kuwa ni mgumu kumfunga.

Huyu mwamba ameshinda cup of nations mara 4 akiwa na misri mtu mbadi pale langoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…