So......Will You????

So......Will You????

Naona sasa tumuulize Finest kua hasa unapompa binti hio.... anakua anawaza nini mkichwa?? lol
  1. Kwamba ni mtiifu hawezi bila Condom.
  2. Kwamba akukipokea hio condom ndo kwamba mmseal uaminifu
  3. Au kuonesha kua anataka ziwe zinatunzwa kwenye hicho kidude?? lol
Aisee zote tatu zinahusika, ila kuna wadada wengi alikuwa ana expect pete unamfungulia anakutana na hiyo kitu walahi waweza kuambulia kibao cha uso na msonyo wa nguvu...lol
 
The Finest jibu fasta (ngoja tuone kama hata choose namba 3)
 
Muone alivo jibu hapa chini.... UONGO Mtupu!!! lol

Aisee zote tatu zinahusika, ila kuna wadada wengi alikuwa ana expect pete unamfungulia anakutana na hiyo kitu walahi waweza kuambulia kibao cha uso na msonyo wa nguvu...lol

Mie mwenyewe mbona nita mind.... I think nitaona unanichezea akili, otherwise inategemea nature ya mahusiano yenu kama mko too much "utani" na utoto mwingi na kwamba you are young kama below 22 hivi....
 
daaah TF......nimeangalia kwa haraka nikifikiri ndoa inakwenda tangazwa kumbe mwisho wa sekunde kwenye dustbin.....kwa hilo hata nini hiiii huwezi pata hapo
 
Hahaha!!! Sasa BW ndio kusema unakitoa hivyo unatoka ndukii....yaani hauoni jinsi nitakavyokuwa nimekujali...lol
 
Muone alivo jibu hapa chini.... UONGO Mtupu!!! lol

Mie mwenyewe mbona nita mind.... I think nitaona unanichezea akili, otherwise inategemea nature ya mahusiano yenu kama mko too much "utani" na utoto mwingi na kwamba you are young kama below 22 hivi....
Hahaha!!! Halafu hiyo sababu ya tatu inahusika sana...maana protection muhimu na kuonyesha how much i care...lol

jiti....
 
Sresdi kama hili wakongwe kama sisi haturuhusiwi kuposti kitu.

Hii post naiacha hapa kwa muda msome ili baadaye nii-delete kufuta ushaidi kwa wazee wenzangu.

Mkinigongea ka-Like naweza kufanya consideration ya kuiacha japo kwa masaa kazaa ili nifaidi raya ya LIKE!
 
Babu nawe........habari yako bana.........umevaa miwani
 
Kamata mawani tupa kule.......... chukua biya tia hapa! Kulaaaaaaaleki!

Maada ya kusema hayo hebu nambie ukila pipi na maganda yake ni ukosefu wa maarifa au kutotaka utamu? Ile makitu bana unajitapikia mwenyewe kwenye mwili wako. Nani atakuwa amemlala mwenzie sasa? Agrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom