The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hahahaha!!! Mkuu mbona umeshikwa na kigugumiziyeeee..........oooohhhhh Nooooo!!!!!!!!!!
Mpwa binti hawezi kujivunga kabisa hapoHahaha mambo ya zana haya
Hapo mwanamke anakuwa tayari anajua kuwa ndoa hiyo inakuja kumbe mtu mzima unataka sukari ya MunguHahahaha!!! Mkuu mbona umeshikwa na kigugumizi
Hapo mwanamke anakuwa tayari anajua kuwa ndoa hiyo inakuja kumbe mtu mzima unataka sukari ya Mungu
Hahaha!! Wakuu mtu unaweza kuambulia vibao vya usoSure she will....angalia asizimie tu....
Hahaha!! Wakuu mtu unaweza kuambulia vibao vya uso
Lol....yawezekana banaa si unajua hawa ndugu zetu weupe akili zao zilivyoKwa mshangao atajua ni aina mpya ya pete...
Lol....yawezekana banaa si unajua hawa ndugu zetu weupe akili zao zilivyo
Hivi utafanyaje ukikuta ni hivyo wakati mategemeo yako ni kuwa ilikuwa inatoka pete humoMakubwa !!!!!!
Hahaha!!! Umenimaliza aiseeWhy not?? lol Just make sure it is gold colored with diamond ufito.....
Hivi utafanyaje ukikuta ni hivyo wakati mategemeo yako ni kuwa ilikuwa inatoka pete humo
Why not?? lol Just make sure it is gold colored with diamond ufito.....
Hahaha!!! Umenimaliza aisee
He he he he hii tena funga kazi
Hapo atakuwa anaomba game au ndoa? maana dah sipati jibu.