So sad jamani!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
So sad
mgonjwa mmoja alikuwa mahututi baada ya ndug kumepeleka kwa waganga 'na mahospital kibao bila msaada aliamini msada unatoka kwa mungu na kuomba wana maombi waje kumwombea ..
Walipofika kama watano wakaanza kumzunguka mgonjwa na kukemea majini yote .bahati mbaya yule mgonjwa alikuwa amefunikwa na oxygen ...walioepndelea kuomba pembeni ya mgonjwa kulikuwa na peni na karatasi kwa kuwa akuweza kusema akageuuka upande wa pili jamaa wakajua ananyanyuka akachukua peni akaandika

alipomaliza kuandika akaanza kuhangaika..mmh gafla akakata roho jamani

ndugu wakaanza kulia kweli mmoja wa ndugu akasema embu tusome jamani ameandika nini labda kaacha usia
kilichoandikwa

""jamani mmekalia oxygen mnaniuaa tafadhali nisaidieni""kumbe wakati wa kuomba mmoja alikuwa amekalia ule mpira wa oxygen na hewa ikawa aiendi tena jamaa akaenda kwa baba .....

Usikumwema jamani
 
Huyo hakuwa anezidiwa. Ameweza kunyanyuka na kuchukua kalamu na kuandika? Alishindwa nini kuonesha ishara kwamba kuna mtu amekalia mpira wa hewa? Haijakaa sawa hii....!
 
mtunzi wa hii story ni mvuta bangi! kwakuwa kashindwa kuunganisha matukio. ukiwekewa oxygen ni kwamba hali yako sio nzuri hata kidogo! lazima utakuwa umeshapoteza fahamu na uko ICU wala hutakiwi kupigiwa kelele za aina yeyote ile! sijui imekuwaje mgonjwa kaekewa oxygen halafu bado anaweza kuandika!!! ghooosh!
 
Duh!si mchezo,hiyo oxygen therapy ilikuwa administered at home?!ni chibokooooo!!!!
 
Kama aliweza kuchukua kalamu ilimshinda nini kurusha ngumiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ha ha haaaaaaa,
Bora ncheke tu mie hapa.
Bange bange.com
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…