Pole sana haswa hapo kwenye ukosefu wa job au mradi. I can imagine standard ya life ilivyo.
So unahitaji mtu wa kukuliwaza kihisia au kiuchumi???
Upo ww
Nipo best, za kwako? Hebu toa kaushauri kwa mama basi hapa.
za kwangu nzuri nimeshindwa hata kutoa ushaur
Kwanini mkuu, hebu tumia network zako japo muunganishe na job afanye.