Snoop Dogg Embraces Islam!!!MUST SEE!!

Ndugu yangu BOSS acha kuhukumu mtu. Lilsilowezekana kwa watu kwa MUNGU linawezekana na mungu anaweza kubadilisha mwizi, jambazi , malaya , mvuta bangi akawa mtu mwema kabisa. Kwa wakristo tuna mfano mzuri wa MTUME PAULO ambaye alikuwa muuaji na mtu katili lakini neema ya mungu ilipomshukia akawa ndiye mtu aliyetangaza kwa nguvu injili ya bwana YESU

kwenye bluu hapo twende sawa Mungu.

anyway, Snoop Dogg hapo kapotea zaidi ni bora angebaki na maisha yake ya kidunia kuliko kwenda kwenye deen ambayo mpaka leo huyo aliyeianzisha anasubiri judgement kama raia wengine. anyway siku zote Waislamu wamekuwa wajinga wa kutupwa hasa sehemu nilipo hapa kuna siku walikuwa wanaangalia video inayoonyesha masupataa wakiwemo Anelka, Frank Ribbery, Loon, Van Persie na wengine wengi walikuwa wakisilimu jamaa walikuwa wanashangalia mpaka walimwaga biriani chini ya sakafu wakaanza kula...
hivi huwa hawajui kama safari ya kwenda mbinguni ni personal???
kusilimu kwa Snoopy hakubadilishi kitu ktk maisha yako ya wokovu,
 
ah! anatafuta jina tu! mbona bado kavaa hereni.. nywele kaweka dawa .. alafu anasema amesilimu! the dude he not serious! anafanya mambo yote ambayo dini yetu imakataza audience wanapiga makofi!... waislamu hatupigi makofi , nadhani hili ni lile dhehebu la national of islam! they are not real muslims ... the only hiphop star ambaye ameingia haswa katika dini ni LOON!

HUYU HAPA CHINI NDIYE MTU ALIYESILIMU LOON . SNOOP HEZ A JOKE!

&

Huyu jamaa nikweli alikua Dubai Kwenye kutangaza dini last week.
 
"mimi ni njia,kweli na uzima,hakuna atakae kwenda kwa baba ila kupitia kwangu" "amin amin nawaambieni dunia itapita lakini maneno yangu hayatapita" "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" thanx Jesus
 
Yaani ni wale wale wavuta bange na wabwiaji ndio wanpenda ile deen. Kaazi kwer kwer
 
kwanini mastaa wanapochoka katika fani zao hukimbilia uislam? Im puzzeled


sio mastaa tu, hata wasiokuwa mastaa wanapochoka, qur an takatifu na khadith zimeelezea watu wanaomrudia mungu wapatapo matatizo, na hii ni asilimia 90 ya watu wanaojikurubisha kwa mungu pindi wawapo na matatizo including you, sisemei moyo wa mtu ila nafsi yako yajua zaidi matendo yako.

Kwa maoni yako unaona loon kaingia uislam baada ya kuchoka/kuishiwa, basi ni bora yake anaemtafuta mungu wake na njia sahihi kuliko kujilazimisha kubaki ktk imani usiyoijua vizuri, am sure huufahamu ukristo vizuri zaidi ya nyimbo na mapambio.
 
Kuacha maovu ni njia njema kuongoka ni hatua...Kuongoka kupitia njia sahihi ni njema sana tena yampendeza Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom