Polisi wanafanyakazi kubwa sana ya kujitoa mhanga dhidi ya waharifu.wote tunawapongeza.tatizo wanapovuka mipaka na kuogopwa badala ya kupewa ushirikiano inakuwa hatari.mwishowe inajenga chuki na raia.Miungu watu ndio waepushe hii hali,
hawa jamaa huwa hawakosi target wafuzu katika kupiga bull.kama huyu.jamaa mshukiwa wanasema ni askari wa akiba.amepigana vita Afghanistan etc(Micah Johnson) anadai amechukizwa na uonevu wa polisi kwa raia weusi.daah mnapo zungumzia sniper sipati picha yaan
niki compare zombie sniper shooter niki zai zai mnyama aki wa target nzur aissee ni dead code![]()
Na wale wanaovamiwa vituo vya polisi na kuuawawa kwa mapanga unasemaje? acheni kuishi kwa mazoea mambo yanabadilika bwana mdogo.Tuombe tusiombe hayawezi kutokea bongo kwa miaka ya hivi karibuni. Usa na Tz wapi na wapi!!
nawe utakuwapoNdio inaenda dodoma hii
Njia nzuri ni ipi?mkuu acha kuchagiza vijana sio njia nzuri ya kupata ufumbuzi wa demokrasia nchini
you are distorting the truth! did you real watch those video?.do you know the role of police? who is protecting civilian if cops are shooting them at close range unarmed?.Those who know nothing about life in U.S. black communities can easily be tempted to blindly take a side! Did you know that armed blacks account for the vast majority of deadly shootings in black communities? It is just insane that black activists are virtually unresponsive to incidents of gun violence between one black and another black, but always condemn passionately (and with greater publicity) any deadly shooting of a black man by a white man! A black man can kill five black men in one day and the incident will probably not attract attention of anyone outside the city where it occurs. In contrast, when a white police officer (justifiably or unjustifiably) kills one black man, the incident will attract nationwide (or even international) attention, because of the insurmountable efforts made by black activists!
Kwa mtukufu i don't think so!Diplomasia
umeongea ukweli.mtupu.kuna wachangiaji wengine upeo wao wa kuelewa ni mdogo wengine wamezidiwa na mihemko ya kisiasa.Nimeuchukia uzi huu kwa sababu unawafanya wengine kuchangia vibaya. Mleta uzi nadhani alikuwa na nia nzuri tu kwa viongozi. Kumbuka; Kilichoanzisha hao snipers ni kuona uonevu unafanyika halafu hakuna hatua stahiki zinachukuliwa. Hicho ndio chanzo.
Hapa kwetu, upendeleo kila kona. Ati weye ni chama gani?? Hii sio nzuri. Nitoe mfano wa mbwa mwoga; Waweza mkimbiza uanjani akakimbia akipiga kelele hata akapotelea maporini. Lakini, ukimvizia pasipo na upenyo, pamoja na woga wake na kelele za "Nakufwa nakufwa", akiona hakuna namna ya kutoka, hugeuka mbogo hatari kwa huyo mshambuliaji wake. Hata kama utamuua lakini waweza kutoka na jeraha wewe pia.
Hatutaki haya yaje kwetu. Tuyakatae kwa nguvu zote. Polisi ni watoto wetu na wengine ndugu zetu. Hakika kilio kitaenda kwetu sote.
Nimeuchukia uzi huu kwa sababu unawafanya wengine kuchangia vibaya. Mleta uzi nadhani alikuwa na nia nzuri tu kwa viongozi. Kumbuka; Kilichoanzisha hao snipers ni kuona uonevu unafanyika halafu hakuna hatua stahiki zinachukuliwa. Hicho ndio chanzo.
Hapa kwetu, upendeleo kila kona. Ati weye ni chama gani?? Hii sio nzuri. Nitoe mfano wa mbwa mwoga; Waweza mkimbiza uanjani akakimbia akipiga kelele hata akapotelea maporini. Lakini, ukimvizia pasipo na upenyo, pamoja na woga wake na kelele za "Nakufwa nakufwa", akiona hakuna namna ya kutoka, hugeuka mbogo hatari kwa huyo mshambuliaji wake. Hata kama utamuua lakini waweza kutoka na jeraha wewe pia.
Hatutaki haya yaje kwetu. Tuyakatae kwa nguvu zote. Polisi ni watoto wetu na wengine ndugu zetu. Hakika kilio kitaenda kwetu sote.
kwa hiyo wewe una maanisha CHADEMA NA UKAWA mmeandaa sniper kwa ajili ya polisi?
kwa hiyo wewe una maanisha CHADEMA NA UKAWA mmeandaa sniper kwa ajili ya polisi?