BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Polisi 11 wamepigwa risasi na wadunguaji(snipers) huko Dallas Marekani.watano kati ya hao wamefariki.
wanasema ni mauaji makubwa kwa wana usalama toka mauaji ya Novermber 11 (Osama attack) Chanzo ni maandamano ya wananchi kupinga ukatili wa polisi dhidi ya waafrika waishio Marekani kuuwawa kwa uonevu.
Polisi wetu wanatuhuma nyingi za uonevu dhidi ya raia/vyama vya siasa pateni somo hapo mjenge PR nzuri kwa wanachi acheni kuonea wananchi wakati idadi yenu ni ndogo kuliko RAIA.