Msaada jaman,mi navoonekana ni mtoto wa mjini muda mrefu na nalijua hilo
Ushamba wangu Sijui kutumia au kuchat Snapchat[emoji28][emoji28][emoji28]
Naweza kuitumia kujichukua video na picha tu lkn mambo mengine hollaaa sijui kbs[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Msaada tafadhali