SMS zilizoleta vurugu na kuvunja mahusiano

mpenda arage

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
1,673
3,793
Za leo wanajukwaa,

Dunia ni msongamano walishasema wahenga. Na mahusiano pia huchangia dunia yetu kuzunguka. Leo naomba tushirikishane SMS zilizotuletea kasheshe na pengine kuvunja mahusiano yetu.

Kwa upande wangu sikuwahi kukamatwa na SMS za simu ila alifanikiwa kuingia inbobo akakuta nachat na kitoweo changu cha kitambo kikitaka tukipashe kiporo, yaani alikuwa na usongo kuliamsha dude.

Mbaya na mimi nilikuwa nasapoti. Aisee kilichonitokea acha kabisa! Ila nashukuru bado niko nae hadi leo. Na ishu nyingine ilimtikea rafiki yangu alituma SMS kwa mchepuko wake eti " nimemis kukuminya tako!" Akasahau kufuta sent SMS. Kikawaka hatari. Ila bado wanaishi hebu tubadilishane majanga, na namna ya kuyaepuka huku tukiendelea kutoa huduma bila shuruti.

Karibuni wahenga.

Arage Jekundu.
 
Nikiwa kijana mtafunaji nilikuwa smart sana kwenye kuwapanga madem..ukizingatia na upole wa sura basi ma dem walikuwa wananiamini sana...hivyo sikuwahi kamatwa na msg...
 
cbc150ab78cee843bab5316ff43921d8.jpg


Unamfuma afu bado mbishi
Wanaume.
 
Mimi nilifumwa nilimtumia demu kwenye Tagged sms. Inayosema Upo mrembo tukutane niile papuchi yako.
Halafu nikatuma kwa mwengine inasema Nipo single kama hujali tuyaanze mimi na wewe.
Nikanuniwa wala sikujali mwenyewe aliomba msamaha kwa kuangalia IPad yangu.




Ndukiiiii

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilifumwa nachat na binam yake sms inasema nitakulalia....
We ilikuwa balaaa thou ilikuwa kuchat tu lakini sikueleweka
 
Nyie mnasema SMS?Juzi niliwashiwa moto wa hatari kisa call log inaonyesha nimempigia bar maid Mara kadhaa!.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
1.Sijawahi kugusa simu ya mwanaume Why??! Sipendi kharaha za kujitakia
2.Sijawahi kukutwa na vmsg kwanini?? Naheshimu mahusiano yangu mwanaume mmoja kwa wakati husika
Safi PM tafadhari
 
ni juzi tu kanifuma nimeambiwa tukaliamshe dude mwendo wa 4g, alivunja simu yangu na kanuna mpaka sasa.

mie naliamsha tu huku upande wa 2 akichoka atarudi ama asepe mazima tu
 
Weka za housegirl alizomtumia mama kimakosa huku akidhani anamtumia baba kwa ushamba wake.
 
Kuna vile visimu fulani vi Nokia 6 batan viliniweka juu ya dali,no papuch pande zote. Misonyo na minuno both sides, yaani zilibambwa sms lukuki za hatari namanisha hatari sio mchezo.

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom