SMS zilizoleta vurugu na kuvunja mahusiano

1.Sijawahi kugusa simu ya mwanaume Why??! Sipendi kharaha za kujitakia
2.Sijawahi kukutwa na vmsg kwanini?? Naheshimu mahusiano yangu mwanaume mmoja kwa wakati husika
Basi sawa, na mwingine kwa wakati wake[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
1.Sijawahi kugusa simu ya mwanaume Why??! Sipendi kharaha za kujitakia
2.Sijawahi kukutwa na vmsg kwanini?? Naheshimu mahusiano yangu mwanaume mmoja kwa wakati husika
Hiyo namba 1 unajaribu kujihami na kukwepa unavyopaswa kuvijua mapemaa fahamu siku ukija jua utakua too late
 
Back
Top Bottom