Sms za kufowadi

Sms za kufowadi

Mzee wangu kila text utakuwa unatuma na muamala tu [emoji23]
ha ha ha ha inategemea mkuu,ili aweze kusoma sms yako kwa kujinafasi...inabidi awe na uhakika wa kula anachotaka,kuvaa,na kunukia pia n.k tofauti na hapo..utakuwa unatuma sms inajibiwa baada ya siku kadhaa
 
Back
Top Bottom