Electrician JF
Member
- Nov 28, 2019
- 5
- 133
Wana kwa mwenye sms nzuri ya mahaba au maneno matamu naomba aweke hapa ili nimtumie shemeji yenu usiku huu
Wana kwa mwenye sms nzuri ya mahaba au maneno matamu naomba aweke hapa ili nimtumie shemeji yenu usiku huu
Ulale salama Malkia wa moyo wangu, mwanamke ninaye mpenda kila ikiitwa leo, unayefanya nipambane kwa kila hali. Upendo wangu kwako hauna kipimo.Wana kwa mwenye sms nzuri ya mahaba au maneno matamu naomba aweke hapa ili nimtumie shemeji yenu usiku huu
naona hili form four leaver kakusaidia mkuuUlale salama Malkia wa moyo wangu, mwanamke ninaye mpenda kila ikiitwa leo, unayefanya nipambane kwa kila hali. Upendo wangu kwako hauna kipimo.
Ukilala tambua ya kwamba wewe ni kipaumbele nambari moja, ukikosa amani au raha, mambo yangu yote hukwama.
I love you so much Babe. Ulale unono.
Duh, tupo nyakati ngumu sana hiziMkono mtupu haurambwi, sms tupu bila muhamala haina faida
AiseeUlale salama Malkia wa moyo wangu, mwanamke ninaye mpenda kila ikiitwa leo, unayefanya nipambane kwa kila hali. Upendo wangu kwako hauna kipimo.
Ukilala tambua ya kwamba wewe ni kipaumbele nambari moja, ukikosa amani au raha, mambo yangu yote hukwama.
I love you so much Babe. Ulale unono.
Huyo kwenye avatar ni weweMkono mtupu haurambwi, sms tupu bila muhamala haina faida
Jamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam.Kutokana na changamoto za kimaisha kuwa nyingi....ukimtumia muamala wa fedha lazima acheke na kufurahi;maneno matupu hayana tija sana
Nimemaliza hapo mkuu! Sound kali hizoAisee
Wala ni nyakati za kawaida sana za kucheza na akili ya mtu tu.
Vipi nikutafute nini?
Nimeshangaa sanaHivi watu bado wanatumaga sms za design hio 2020?
Tatizo hawa binadamu hisia zao huja baada ya kupata uhakika wa kimaisha katika kupata mahitaji yao muhimuJamani hii slogan na hii mentality ipungue dah sio kila kitu muamala jamani fedha ni muhimu sikatai lakini sio kila kitu umalizwa na fedha fam.