sms ya mrembo...

boss wetu kumbe wapenda mizigo eeh! haha haya mkuu hongera!
 
mrembo mwenyewe shapeless! I feel like puking!
 

Mhh,hapa ndo penyewe

Mpe kazi kama huibi lakini
 
Huyo kesha wahi fanya kazi kwangu!
Diploma, Digrii zake feki. Mjaribu uone!
 
Mashaka yangu ni huo uzoefu wa miaka 20, kwa miaka ishirini katomasa wangapi na hiyo master kapewa na wahadhiri gani? Kwa hiyo mkuu unatakiwa uwe na kazi ya level ya phd ili kuweza kumudu huo uzoefu na qualification hizo, good luck mpe kazi ya kutomasa!
 
Vingine si vitanda ni majeneza... mkilalia tu muda si mrefu mnaimbiwa ule mwimbo maarufu... ♫♪♫...njia ile ni nyembamba iyendayo uzimani...♫♪♫
 
The Boss noma bana kum anika mwenzako🙂
 


Hahahahahahahaha unaweza kuwa na master lakini mwajiri mmoja tu na chuo alichopatia hiyo master kina hadhi ya juu tu nchini...LOL! BOSS mpe ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…