ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
message hiyo ni ya kichochezi na haitofautiani na za akina shamte au yoyote ile tuliyokua tunailaani
watanzania tutambue kuwa utu wetu ni zaidi ya momentarily emotions zinazozunguka vichwani mwetu.... miaka mitano si mingi na kwa subira ushindi waweza patikana
nashauri tuache upuuzi huo, tujiunge wote wapinzani na wapenda maendeleo ya nchi
binafsi jumapili ntajiunga rasmi kujiandaa na 2015... sihitaji kupoteza ndugu, rafiki, mke, au watoto wangu kwasababu inayoweza kusubiri
damusi bei rahisi kama inavyotamkwa, ukifa hurudi tena lakini ukisubiri utaona kesho
time heals
message hiyo ni ya kichochezi na haitofautiani na za akina shamte au yoyote ile tuliyokua tunailaani
watanzania tutambue kuwa utu wetu ni zaidi ya momentarily emotions zinazozunguka vichwani mwetu.... Miaka mitano si mingi na kwa subira ushindi waweza patikana
nashauri tuache upuuzi huo, tujiunge wote wapinzani na wapenda maendeleo ya nchi
binafsi jumapili ntajiunga rasmi kujiandaa na 2015... Sihitaji kupoteza ndugu, rafiki, mke, au watoto wangu kwasababu inayoweza kusubiri
damusi bei rahisi kama inavyotamkwa, ukifa hurudi tena lakini ukisubiri utaona kesho
time heals
Naunga mkono
mkuu nielewe kidogo tuKwa hiyo unategemea 2015 mambo yatabadilika siyo??? Wenzako kazi ni mbele kwa mbele, come 2015 hata hivyo viti vya ubunge vitapunguzwa tena!!
Adanganywe atoke m2,hapo mtajuwa kweli FFU wapo ajili yawakorofi kama nyie,mcdhani hapa ni Kenya,ila mjue vyombo vya dola vimejipanga,mpinzani akiona kashindwa hujitweka uwana mapinduzi,muambieni SLAA Afanye mapinduzi kwake nyumbani the Karatu,sio kukimbilia madaraka akadhani tunataka tawaliwa na KANISA,Nyepesi nikuwa kampeni za CHADEMA Zinadhaminiwa na Kanisa la America,tena la mahanith and Roma,vip Tz itawaliwe na mfwasi wa mahanithi
Twendeni polepole tunaandamana kwa sababu ipi......na maandamano ya amani ya kushinikiza nini?Kwa maana hiyo, ikiwa damu itamwagika, basi tume ya uchaguzi, Kikwete, Makamba na wengio wabebe mzigo. Wao ndio wanaoanza kuivuruga amani yetu na utulivu wetu kwa kuivamia haki yetu ya msingi. Kupiga kura.