Most people prefer sms kama mawasiliano na wapenzi wao zaidi ya kupiga simu... na kwa mtazamo wangu matatizo mengi sana kwenye mahusiano yanaanziaga hapo..
Mfano utakuta mtu uko busy umefungwa motor na boss wako ofisini....mpenzi anakutumia sms..wewe kwa sababu umekamatwa na kazi huisikii....baadae sana unapopata mda ukimjibu ni ugomvi na saa nyingine hata mpaka jioni ndio unaiona.
Ni vizuri ukiona umetuma sms alafu hujibiwi ruka hewani fasta...na hapo kama hujibiwi ndio uanze kurusha mawe..sio unakurupuka tu.

Mmmh, nimesikia
Haikuwa na haja ya kuja kunianika huku kwa ID mpya
Ungeniambia tu
Mmmh, nimesikia
Haikuwa na haja ya kuja kunianika huku kwa ID mpya
Ungeniambia tu
Jamani sms zina raha yake..!!
Nikuandikie msg saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni hujaiona? Haiwezekani..!!
Ukiichelewa kujibu saa moja, mawili nitaelewa lakini sio masaa yote hayo mweeeeh!!
So akikupigia kila baada ya masaa mawili na kukuambia amekumiss itakuwa okay?
Hapo lazima uniombe talaka.......sms zinachosha sana... mtu anakutumia sms eti... Umeshakula au Unafanya nini au ukobusy? ...
naona umepata mpya wa kuhashuana naye!! mamboyo??Mmmh, nimesikia
Haikuwa na haja ya kuja kunianika huku kwa ID mpya
Ungeniambia tu
Sasa huyu ni Zombie au wa kumoyo?
naona umepata mpya wa kuhashuana naye!! mamboyo??
At last msg sent..... sasa upunguze hizo sms.... walau moja kwa siku sio mbaya... si unajua tena nahangaikia unga wa watoto..
Sasa kuna taabu gani kumjibu umpendae jamani?
Mnataka mpendweje? Huyo dada akipata wa kuhashuana naye utaisoma namba..!!