SMS Vs CALL

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Most people prefer sms kama mawasiliano na wapenzi wao zaidi ya kupiga simu... na kwa mtazamo wangu matatizo mengi sana kwenye mahusiano yanaanziaga hapo..
Mfano utakuta mtu uko busy umefungwa motor na boss wako ofisini....mpenzi anakutumia sms..wewe kwa sababu umekamatwa na kazi huisikii....baadae sana unapopata mda ukimjibu ni ugomvi na saa nyingine hata mpaka jioni ndio unaiona.
Ni vizuri ukiona umetuma sms alafu hujibiwi ruka hewani fasta...na hapo kama hujibiwi ndio uanze kurusha mawe..sio unakurupuka tu.
 
Sasa si ungemwambia tu mpenzi wako ... maana inaelekea nyie mmechagua sms kama njia ya mawasiliano mnapokuwa mbali to each other, ila kwa wengine ni kuvuta waya tu ng'aduuu kitu hewani......!
Kwanza siku hizi kuruka hewani ni very cheap .............................!
 
Most people prefer sms kama mawasiliano na wapenzi wao zaidi ya kupiga simu... na kwa mtazamo wangu matatizo mengi sana kwenye mahusiano yanaanziaga hapo..
Mfano utakuta mtu uko busy umefungwa motor na boss wako ofisini....mpenzi anakutumia sms..wewe kwa sababu umekamatwa na kazi huisikii....baadae sana unapopata mda ukimjibu ni ugomvi na saa nyingine hata mpaka jioni ndio unaiona.
Ni vizuri ukiona umetuma sms alafu hujibiwi ruka hewani fasta...na hapo kama hujibiwi ndio uanze kurusha mawe..sio unakurupuka tu.

Mimi nilifikir unacompare SMS v/s CALL, kumbe unacomplain about mupenzi wako alalamikavyo asipopata reply ya SMS yake.
 
Good thing about messages kwenye mapenzi hu'prolong' maongezi na hivyo kuweka ukaribu zaidi na mpenzio...kitu ambacho kwa kupiga simu mngediscuss kwa dakika 3, kwa sms mtakidiscus kwa nusu saa nzima! So phone calls are strictly for urgent matters, vinavyobaki...BBM, Whatsapp, SMS with ha ha haa na lol nyingii!
 
Mimi naona kama ilikutoke mara nyingi katika mahusiano yenu,
asante sana kwa ushauri wako ila umeshmwambia shemeji?
 
Aisay ndugu, kuna device zina attached to the human body zimeisha ingia mjini, sijui kama bongo mnazo ni very expensive lakini... zinawekwa kwenye Penis Shaft zinaitwa IPMS (In Penis Monitoring System) yani popote unapopita kwenye K inaonekana, inabidi akununulie ili atulize roho yake :biggrin1:
 
Jamani sms zina raha yake..!!

Nikuandikie msg saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni hujaiona? Haiwezekani..!!

Ukiichelewa kujibu saa moja, mawili nitaelewa lakini sio masaa yote hayo mweeeeh!!
 
Hapo lazima uniombe talaka.......sms zinachosha sana... mtu anakutumia sms eti... Umeshakula au Unafanya nini au ukobusy? ...
 
Sasa kuna taabu gani kumjibu umpendae jamani?

Mnataka mpendweje? Huyo dada akipata wa kuhashuana naye utaisoma namba..!!
 
Unahangaikia unga, ujue mie ndio sufuria

Nikikugomea kukaa jikoni utajuuta kunifahamu

At last msg sent..... sasa upunguze hizo sms.... walau moja kwa siku sio mbaya... si unajua tena nahangaikia unga wa watoto..
 
Sasa kuna taabu gani kumjibu umpendae jamani?

Mnataka mpendweje? Huyo dada akipata wa kuhashuana naye utaisoma namba..!!

Hawezi Ney anajua jinsi navyompenda alafu amefika kwene hili likitu langu ndo maana anailinda.. ehehehe
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom