SMS hizi! Ungefanyaje?

Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
Kwi kwi kwi daa naona invisible aniletee msaada sasa maana mbavu zimeisha...
 
Ivi kumbe tuna comedians wa kali ivi, we mkali bana..
 
Teacher: Which crops does Africa export to Europe?
Student: Coffee
Teacher: Good. How many types do we have?!!
Student: Two types
Teacher: Very good. What are they?
Student: Coffee Annan and Coffee Olomide mpiga sebenes
Teacger: Mungu wangu wee...!! Kweli hapa sina mwanafunzi!
 
ZABURI 23 YA WALEVI

Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na hela mfukoni, nijapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka sitaogopa chochote kwani kwani yeye yu pamoja nami, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na magari, nami nitakaa karibu na BAR milele, AMEN.
 
Hahahaaaa kwi kwiii Aisee umeniacha hoi mbaya
 
Jamani mje mnipeleke hosp wewe na sister maana mbavu cna mwenzenu ..... da.. really u made ma day.

Better is not enough for you, the Best will come
 
Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
hahahhahha.................uwiiiiiiiiii...........hahahahahah.
 
Haaa kuna kamchezo nacheza hapa,kana chekesha sana hebu jaribu na wewe,weka simu yako vibration halafu itumbukize kwenye maji kisha i beep uone inavyo ogelea utapenda!
 
Haaa kuna kamchezo nacheza hapa,kana chekesha sana hebu jaribu na wewe,weka simu yako vibration halafu itumbukize kwenye maji kisha i beep uone inavyo ogelea utapenda!
Daa ka zuri sana kamchezo.. embu itumbukize yako kwanza nakubip.. subiri hapo hapo. Tehe tehe tehe..
 
Teh teh teh teh!!!! Mwanafunzi anafikiria mbali zaidi ya mwalimu...
 
Juz nilikua kanisani nikamwona m2 anavuta sigara live nikashangaa mpaka nikaangusha bia yangu uzuli pasta akuiona alikua bize na demu wake
 
Juz nilikua kanisani nikamwona m2 anavuta sigara live nikashangaa mpaka nikaangusha bia yangu uzuli pasta akuiona alikua bize na demu wake

Duuuh kanisa la freemasons nini mkuu?
 
Hii ndiyo kali. Maana nimecheka mpaka watu wamenishangaa. Ahsante mkuu nimeongeza siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…