SMS Blocker App Nzuri kwa Android Phone.

SMS Blocker App Nzuri kwa Android Phone.

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,440
Reaction score
2,452
Salaam Wakuu.

Hope mko okay kabisa. Well, naulizia sms blocker nzuri inayoweza kublock sms na kwa mtumaji isionyeshe report kuwa msg imefika, yaani isionyeshe double tick kwenye msg aliyotuma kwenye simu yake. Thanks.

Nawasilisha.
 
hakuna mkuu sms blocker zinazuia wewe tu usipate message lakini kule ilikotoka inaonyesha imekuwa delivered kabisa. maybe kama hutaki annoying texts from service providers.
 
hakuna mkuu sms blocker zinazuia wewe tu usipate message lakini kule ilikotoka inaonyesha imekuwa delivered kabisa. maybe kama hutaki annoying texts from service providers.
Kwa hiyo aliyetuma inaonyesha kuwa msg imemfikia mlengwa...?.

Kwa nini isionyeshe pending kuwa kwa mtumiwaji haijafika, hakuna app yenye hiyo feature kweli...?.
 
Kwa hiyo aliyetuma inaonyesha kuwa msg imemfikia mlengwa...?.

Kwa nini isionyeshe pending kuwa kwa mtumiwaji haijafika, hakuna app yenye hiyo feature kweli...?.
sijafanikiwa kuiona mkuu maybe hiyo feature inakuwepo kwenye paid version ila hizi free version hapana.
 
Ooh okay.

Nkajua hiyo feature ipo aisee ingekuwa safi sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom