Smiles, Fidel08, Dorin, Swado, Mhafidhina, Mzee wa Rula, Zion Daugher etc

Daaa MS mi mniacha goigi unajua, sasa hiyo ndo lugha gani kichina au??

Pole sana kwa kukuwacha goigoi na najua hatukuboi.............. hicho kinyumbani ndugu yangu hapo tumeongea ya maana sana usiwe na wasi hatuja kuteta lol
 
Marhabaaa afadhali umetokea ndugu asprin maana kichwa kinaniuma na haya mambo ya UDSM na DOWANS fanya mambo basi mkuu.......

Aisee ngoja nikazimue. Jana nililazwa kwenye kreti za bia. Kunywea kwenye mesi za jeshi ni hatari sana.
 
Ha ha ha Babu apenda chikamoo wewe??

Haya chikamoo Babu Achipirini??

Hivi uliniaga unaenda wapi vile....natalka nikuagize ugoro na mkongojo.

Marahaba kwa shkang ya kizushi hiyo. Hivi mmeo huwa wamsalimu shkamoo?
 
Hivi uliniaga unaenda wapi vile....natalka nikuagize ugoro na mkongojo.

Marahaba kwa shkang ya kizushi hiyo. Hivi mmeo huwa wamsalimu shkamoo?

Hebu jibu PM kwanza halafu ndo urudi hapa.

Mume wangu mdogo kuliko mimi yeye ndo ananisalimu shikamoo mke wangu!!!
 
Ha ha ha wewe acha hizo bwana. Kwenye bluu ni JKNIA

Kama JKNIA nina wasiwasi maana umesema unakoenda hakuna network usitupige changa la macho ukasema una safiri kumbe unaenda kufungiwa sehemu mpaka weekend iishe lol kwenye blue umepaelezea kwenye nyekundu mbona umepachunia au hapana umuhimu?
 
Mimi hata etc simo! lkn NAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA SAFARI NJEMA SANA! Nitakumiss Mum!
 
Marahaba Asprin hujambo mtoto mzuri, umeshakunywa maziwa?

Uzuri wasisi wakiume hata mtu akiwa mkubwa na midevu ananyonya nyonyo na ndio maana huwa tunaachishwa mapema mama zetu wanajua na ukubwani tunanyonya sana tu...........
 
Kama JKNIA nina wasiwasi maana umesema unakoenda hakuna network usitupige changa la macho ukasema una safiri kumbe unaenda kufungiwa sehemu mpaka weekend iishe lol kwenye blue umepaelezea kwenye nyekundu mbona umepachunia au hapana umuhimu?

Weekend?? Jibu PM
 
Back
Top Bottom