Smiles, Fidel08, Dorin, Swado, Mhafidhina, Mzee wa Rula, Zion Daugher etc

Kila la kheri Dena,wasalimu uendako,uende salama na urudi salama.......we will miss you!!
 
Bora umewaaga wajukuu zangu,

Babu bado anakusubiri umweleza kwa upole na kuweka nadhiri!
 
Babu mambo mengine si ya kuzungumzia hapa bana

Mimi na wewe tu, ndo maana nimesema babu anakusubiri umnong'oneze. Huwezi kuondoka bila kumwekea nadhiri kwamba utarudi ukiwa intact....bila kuchakachuliwa hata kwa maneno au kukonyezwa!!
 
Mimi na wewe tu, ndo maana nimesema babu anakusubiri umnong'oneze. Huwezi kuondoka bila kumwekea nadhiri kwamba utarudi ukiwa intact....bila kuchakachuliwa hata kwa maneno au kukonyezwa!!

Kule niendako swala tano babu hawafanyi hayo. Poa nitakunong'oneza basi usijali
 
Kila la heri Dada Mungu akutangulie katika kila jambo ufanyalo AMEN. Damu ya Yesu ikulinde kule uendako.
 
Back
Top Bottom