kipozi JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 1,314 Reaction score 1,704 May 22, 2020 #21 Hata mi nlijua ni ule mtandao wa sim Mr Easy said: Wakati naanza kusoma nikajua smile mtandao wa simu kumbe walewale! Sijamaliza kusoma nimerukia kwenye comment. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nlijua ni ule mtandao wa sim Mr Easy said: Wakati naanza kusoma nikajua smile mtandao wa simu kumbe walewale! Sijamaliza kusoma nimerukia kwenye comment. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #22 Kwani DEC ilikuwa haijsajiliwa? Kusajiliwa ni hoja? Ngoja niwashitue BOT muone kama mtachukua wiki mtaani, tena kesi ya utakatishaji inawahusu. Smile we care said: Hii ni kampuni ya uhakika na ina makazi yake daresalam na pia imesajiliwa na TRA Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani DEC ilikuwa haijsajiliwa? Kusajiliwa ni hoja? Ngoja niwashitue BOT muone kama mtachukua wiki mtaani, tena kesi ya utakatishaji inawahusu. Smile we care said: Hii ni kampuni ya uhakika na ina makazi yake daresalam na pia imesajiliwa na TRA Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #23 Mnacheti cha BOT achana na na Brela na TRA mnacheti cha BOT? ngoja niwashitue Smile we care said: hii ni kampuni ilosajiliwa tanzania na tra na inamakaz yake daresalama Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mnacheti cha BOT achana na na Brela na TRA mnacheti cha BOT? ngoja niwashitue Smile we care said: hii ni kampuni ilosajiliwa tanzania na tra na inamakaz yake daresalama Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #24 Dogo utasihia pabaya aiseee, hii BOT wakikudaka huchomoki Smile we care said: Kuna akaunti unapewa unafunguliwa na hio akaunti unalipia ndio unapata hayo masomo na kaunti ni sh 23000 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo utasihia pabaya aiseee, hii BOT wakikudaka huchomoki Smile we care said: Kuna akaunti unapewa unafunguliwa na hio akaunti unalipia ndio unapata hayo masomo na kaunti ni sh 23000 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #25 Haoana aonyeshe Barua kutoka BOT yawa kupewa ruhusa kufanya huu upatu, BOT wakiwadaka ni hatachomoka, watu wanazani hizi ni enzi za JK Msangarufu said: Tuonyeshe mafanikio yako yatushawishi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Haoana aonyeshe Barua kutoka BOT yawa kupewa ruhusa kufanya huu upatu, BOT wakiwadaka ni hatachomoka, watu wanazani hizi ni enzi za JK Msangarufu said: Tuonyeshe mafanikio yako yatushawishi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Donald Marcus Hemu JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 372 Reaction score 536 May 22, 2020 #26 Cha kufanya ni kutafuta watu wawili kisha hao watu wawili wanaleta watu wawili wawili kila mmoja hapo utakuwa unaanza kuvuna mamilioniπππππ Sintowasahau Qnet walivyonifanyia pamoja na Goodmorning yao
Cha kufanya ni kutafuta watu wawili kisha hao watu wawili wanaleta watu wawili wawili kila mmoja hapo utakuwa unaanza kuvuna mamilioniπππππ Sintowasahau Qnet walivyonifanyia pamoja na Goodmorning yao
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #27 Cheti cha TIN number ndo mafanikio? Hahaaa onyesha na cha BOT Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,487 Reaction score 14,064 May 22, 2020 #28 Hii usijalibu mbaweza dakwa wote na mkafunguliwa kesi za utakatishaji pesa, hii sio ya kijalibu nyakati hizi, hii ilikuwa inawezekana enzi za JK, Donald Marcus Hemu said: Cha kufanya ni kutafuta watu wawili kisha hao watu wawili wanaleta watu wawili wawili kila mmoja hapo utakuwa unaanza kuvuna mamilioni Sintowasahau Qnet walivyonifanyia pamoja na Goodmorning yao Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hii usijalibu mbaweza dakwa wote na mkafunguliwa kesi za utakatishaji pesa, hii sio ya kijalibu nyakati hizi, hii ilikuwa inawezekana enzi za JK, Donald Marcus Hemu said: Cha kufanya ni kutafuta watu wawili kisha hao watu wawili wanaleta watu wawili wawili kila mmoja hapo utakuwa unaanza kuvuna mamilioni Sintowasahau Qnet walivyonifanyia pamoja na Goodmorning yao Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Wernery G Kapinga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 381 Reaction score 131 May 23, 2020 #29 BLACK MOVEMENT said: Mleta Post unaweza kuta hajaweka kitu tumboni siku nzima. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Elfu 23,000/= mpaka leo imepotea aisee Sent using Jamii Forums mobile app
BLACK MOVEMENT said: Mleta Post unaweza kuta hajaweka kitu tumboni siku nzima. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Elfu 23,000/= mpaka leo imepotea aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,330 Reaction score 176,111 May 23, 2020 #30 Good morning mtoa mada.
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Dec 15, 2020 #31 BLACK MOVEMENT said: Haoana aonyeshe Barua kutoka BOT yawa kupewa ruhusa kufanya huu upatu, BOT wakiwadaka ni hatachomoka, watu wanazani hizi ni enzi za JK Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu, hawa watu bado wapo wanawapotosha sana watoto wa watu kuwa watakua natajiri
BLACK MOVEMENT said: Haoana aonyeshe Barua kutoka BOT yawa kupewa ruhusa kufanya huu upatu, BOT wakiwadaka ni hatachomoka, watu wanazani hizi ni enzi za JK Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu, hawa watu bado wapo wanawapotosha sana watoto wa watu kuwa watakua natajiri
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,399 Reaction score 29,338 Dec 15, 2020 #32 Encryption said: Mkuu, hawa watu bado wapo wanawapotosha sana watoto wa watu kuwa watakua natajiri Click to expand... Nilimsikia yule wa Ole Sabaya kule Hai, anatoa macho tu!
Encryption said: Mkuu, hawa watu bado wapo wanawapotosha sana watoto wa watu kuwa watakua natajiri Click to expand... Nilimsikia yule wa Ole Sabaya kule Hai, anatoa macho tu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,853 Reaction score 184,679 Dec 15, 2020 #33 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Dec 15, 2020 #34 Kulia kushoto
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,340 Reaction score 13,364 Dec 15, 2020 #35 Hakuna walimu humu ondokeni,πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Hakuna walimu humu ondokeni,πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ