Zinduna acha noma mshikaji umenikumbusha M.A.T.A.K.O bar panasupu tamu kinoma ya mkia na Ulimi. Niko njiani kuja mjini tukutane hapo lini nikupe ofa ndugu yangu?Wewe utakuwa ulilala kwa MOROMBOO jana au M..A..T..A..K..O BAR
Mimi hiyo Bar naipendea vitu kama hivi:Zinduna acha noma mshikaji umenikumbusha M.A.T.A.K.O bar panasupu tamu kinoma ya mkia na Ulimi. Niko njiani kuja mjini tukutane hapo lini nikupe ofa ndugu yangu?
Niliweka jana mkuu
Chukua bonge la LIKEMimi hiyo Bar naipendea vitu kama hivi:
Mkuu habari za majukumu? Arusha hawajambo?Chukua bonge la LIKE
Mkuu habari za majukumu? Arusha hawajambo?