Smile 4G LTE vs Tigo 4G LTE vs Smart

Smile 4G LTE vs Tigo 4G LTE vs Smart

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,368
Smile wana kazi sasa ya kupambana na tigo & smart kuvuna wateja, kwa kipindi kirefu ama kifupi smile wame enjoy sana monopoly market ila kwa sasa competitors wanaongezeka na bei zinashuka za vifurushi vya 4G lte, je smile watashusha bei? au watakimbia soko?, Na ikumbukwe wateja wengi wa smile ni class fulani wasiojali gharama bali huduma nzuri, je watashawishika kuhama?

Bei za packages kwa sasa upande wa smile

attachment.php

Tigo

attachment.php

Smart

attachment.php
 
Attachments

  • Capture1.JPG
    Capture1.JPG
    43 KB · Views: 926
  • Capture2.JPG
    Capture2.JPG
    16.9 KB · Views: 880
  • Capture3.JPG
    Capture3.JPG
    13.1 KB · Views: 877
Tigo ndo competitor Mkubwa wa Smile kwa sasa na Kampita mbali sana maana ame Cover Mikoa zaidi ya 7 mpaka sasa wakati Smile miaka yote hii wamebaki sehemu fulani ya DSM na Atown.
Watu pia bado wanaitaji awareness Kuhusu 4G

Ila Juu ya yote bado Internet zao ni Ghali sana wa matumizi ya mtu wa kawaida
 
Ni kweli kabisa ila mpaka sasa smart naona ndio cheapest kwa wote ila sasa miundombinu aliyokuja nayo naona ni shida kwa watu wengi na pia hawajatoa elimu ya kutosha kwa wateja wao wapya, watu wananunua simcard za 4G wanaweka kwenye 3G smartphones, ukijumlisha na issue za bands ndo kabisa watu wanapoteana.
 
Wateja wa smile ni kama wa apple, ni watu fulani hata uwaambie nini hawaelewi itachukua muda mpaka kuja kumtoa huyo jamaa juu.

Pia tigo nilitumia 4g kwa kifurushi cha 3g kuna mwengine anaweza kufanya kama hivyo?
 
na ukapata speed za 4g??
 
Aisee mimi niko nyuma ya muda kumbe kuna Smile na Smart nilidhani ni kitu kimoja, ok na sasa nasikia kuna Halotel.
 
recently i bought note5 duos and kept tigo (3g) and smart line (4g). and to be honest nimependa 4g speed ya smart. nanunua 10gb package and i am very satisfied.

for downloading purpose natuamia network ya kazini.
 
Luckily nimeshawai kutumia 4G both za tigo and smile, and Speeds zao hazipishani sana atleast for what i`ve seen. Sema tu kwa tigo, huwa inashukaga sana sometimes, getting an average of 1.5mbps, while smile wao huwa ni nadra sana kushuka chini ya 2mbps wakat unadownload file kubwa kidogo.

Tigo is cheaper compared to Smile, so kwa mtu wakawaida option yetu ni Tigo, Sijawai tumia Smart so siwezi toa comment yoyote kuhusu hiyo. But smile price nikubwa sana, I have router yao but sijawai kuweka any package (nilipewa tu).

Screenshot_402.png
 
Naomba msubiri TTCL itapoleta 4G kwa bei chee zaidi.. Wakazi wa Dar kaeni tayari maana by December katikati mtaona mabadiliko makubwa. WIFI points za 4G zitatolewa pia na TTCl, mwendo wa HAPA KAZI unakuja na full revolution.

Stay tuned, be on the watch out.
 
Mkuu kifaa chenye band izi kinaweza kusoma 4G LTE network?

GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7, LTE FDD BAND 8, LTE TDD BAND 38, WCDMA FDD Band I, WCDMA FDD Band VIII
 
safi sanaaa fundichupi mmmh ila ilo jina jamani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kifaa chenye band izi kinaweza kusoma 4G LTE network?

GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7, LTE FDD BAND 8, LTE TDD BAND 38, WCDMA FDD Band I, WCDMA FDD Band VIII
Ndio FDD band 20 ndo wanatumia Tigo na Smile
 
Ila speed ya tigo ni kwa dar es salaam tu mikoani haipatikani
 
Tigo ndo competitor Mkubwa wa Smile kwa sasa na Kampita mbali sana maana ame Cover Mikoa zaidi ya 7 mpaka sasa wakati Smile miaka yote hii wamebaki sehemu fulani ya DSM na Atown.
Watu pia bado wanaitaji awareness Kuhusu 4G

Ila Juu ya yote bado Internet zao ni Ghali sana wa matumizi ya mtu wa kawaida

Mikoa 7? Naomba kujua mbeya imo kat ya hiyo 7?
 
Ni kweli kabisa ila mpaka sasa smart naona ndio cheapest kwa wote ila sasa miundombinu aliyokuja nayo naona ni shida kwa watu wengi na pia hawajatoa elimu ya kutosha kwa wateja wao wapya, watu wananunua simcard za 4G wanaweka kwenye 3G smartphones, ukijumlisha na issue za bands ndo kabisa watu wanapoteana.
Bands za smart ni zipi?
 
Back
Top Bottom