Ooh ...bas nichek kwenye namba hii 0654776976, itakuwa vizuri zaid ukinichek whatsapp..ili nikueleweshe vizuri, na upate na plichaDah, yaani km mimi ndio sijuagi aina ya simu, mpaka niione ndio najua kumbe ndio aina husika au nivutiwe na muonekano niulize niambiwe ndio aina fulani !