Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 695
- Thread starter
- #61
Mkuuu tecno hawaaminik...ila kikubwa angalia setting yako ya Internet..pale kwenye kwe Internet Access point (APN). Km utahitaji msaada zaid usisite kunichek, ni msaada bure, 0654776976..Jamani Mimi naomba kuuliza kwani c9 huwa inashida gani kwenye internet yangu inazingua sn, wajuzi nielewesheni.samahani lakn Kwa kuingilia uzi