Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

Mkuu huyu mtu hasaidii anafanya biashara.
Labda ww umemuelewa vibaya.
Huyu nimfanya biashara kama unataka kusaidiwa tafuta njia nyingine yakupata msaada wa bidhaa anazo uza hyu jamaa.
Labda kwa ushauri nenda ktk nyumba ya ibada ya imani yako uwombe wakuchangie pesa uje ununue bidhaa unayo taka.
Labda nikuulize ww unata nini ktk hizi bidhaa alizo tutangazia nione kama mm naweza kukusaidia?
 
Mkuu ungetoa caption ya kila picha uliyoiweka ingesaidia wateja kujua unachokita!
Japo ni kazi ila jitahidi.
Nitafanyia kazi asee...japo km ulivyosema inakwa vigumu hum ndio maana huwa nashauri kwa maelezo zaid mtu anichek kwenye # yang 0654776976
 
Mkuu huyu mtu hasaidii anafanya biashara.
Labda ww umemuelewa vibaya.
Huyu nimfanya biashara kama unataka kusaidiwa tafuta njia nyingine yakupata msaada wa bidhaa anazo uza hyu jamaa.
Labda kwa ushauri nenda ktk nyumba ya ibada ya imani yako uwombe wakuchangie pesa uje ununue bidhaa unayo taka.
Labda nikuulize ww unata nini ktk hizi bidhaa alizo tutangazia nione kama mm naweza kukusaidia?
Umevurugwa wewe. Huna lolote kapuku tu. Ungekuwa nahela tusingekuona humu una tapatapa kama bata anaekata roho. Hovyoooooooooooooo
 
Naomba kujua bei za
Samsung galaxy s4
Samsung galaxy on7 pro - 391000
Htc m8
 
Mkuu ungetoa caption ya kila picha uliyoiweka ingesaidia wateja kujua unachokita!
Japo ni kazi ila jitahidi.
Dah, yaani km mimi ndio sijuagi aina ya simu, mpaka niione ndio najua kumbe ndio aina husika au nivutiwe na muonekano niulize niambiwe ndio aina fulani !
 
Back
Top Bottom